Nitashangaa kama hizi degree na mwaka huu zimepewa wanafunzi

Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade tuu.
Huwezi kuruhusu nguvu kazi ya taifa ikapoteze miaka 3/4 kwenye maarifa ambayo ni useless ama tayari soko liko saturated nayo, ni heri hiyo nguvu kazi ungeipeleka ikasomee japo ufundi mbalimbali japo kwa mwaka mmoja kisha wawezeshwe waanze kuyakabili maisha mtaani.

1. Degree ya Ualimu wa Masomo ya Sanaa
2. Degree ya Uuguzi na Ukunga
3. Degree za Masomo ya Sanaa
4. Degree ya Somo la Historia

Hizo ni kwa uchache tuu lakini vyuo vingi vinatoa degree ambazo kimsingi zilitakiwa zitolewe na chuo kimoja tuu ambacho kingetosheleza soko la ajira kwa kozi husika.​
YANGA WATAPINGA.
 
Watu watakomaa weee wanakupinga lakini ukweli ndio huo

Back
Top Bottom