Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Wote tumezaliwa tukiwa atheist, dini tulikuja kuzifata baada ya kuja kuwa indoctrinated

Mtu kuwa atheist haimaanishi kabadili asili yake bali kairejea asili yake ambayo mwanzo aliikacha

Kwa mujibu wa uislam dini ni moja tu uislam je unakubaliana na hoja hiyo?
Sio kweli.

Uislamu unakubali kuwa kuna dini zingine pia.

Rejea vizuri marejeo yako mzee.
 
Atheism ni lack of beliefs

I'm done
Kama ambavyp wewe unaamini kuwa hakuna Mungu maana yake iyo ni imani tayari.

Kwa hiyo ninyi ni watu mna imani zenu ambazo zonakanusha imani zingine.

Mfano mimi naamini kuwa yesu sio Mungu,hii ni imani yangu maana yake naamini kuwa yesu ni binadamu wa kawaida,hiyo kuamini yesu ni binadamu kama sisi basi HIYO NI IMANI japokuwa nakanusha uungu wake.

Kwa hiyo nyie ndugu imani mnazo lakini tu ni imani zinazopinga imani zingine ma kuthibitisha imani zenu.

Kama wewe binafsi unaamini hakuna kitu Mungu.hiyo ni imani
 
Sizungumzii kuvua nguo na kuwa uchi kwa sababu maalumu kama hiyo kuoga au kusex bali nazungumzia kuwa uchi kwa kuachana na kuvaa nguo kabisa,kama ambavyo ulizaliwa uchi bila nguo na wazazi ndio waliyokuwa wakikuvalisha nguo sasa ndio nauliza kwanini usirudie asili yako ya kuwa uchi kuwa bila nguo kama ulivyorudia asili yako ya kuwa na lack of belief?
Kukaa uchi sio kuzaliwa uchi, unapata shida sana kuelezea kwasababu unataka upachike dhana potofu

Jifunze kutofautisha hilo kwanza kisha ujenge hoja
 
😂😂😂😂😂
Ipo nguvu ya KIMUNGU katika Viumbe, nguvu hiyo inazungumza Kama nafsi mbili zenye kukinzana katika kunena.

Hiyo nguvu huzungumza katika kauli za kiumbe hai huyo.

Kwa kuwa nguvu hiyo huwa Kama nafsi mbili.
I/ Nafsi ya kwanza Ni dhaifu na huwa na shauri jema la mazungumzo.
II/Nafsi ya pili Ni Imara sana, ina nguvu na Haina shauri jema.

Baadhi yetu huita Nafsi.
Wahaya huita SHANGAZI MTIMA.

Kiukweli Hakuna kiungo Cha binadamu kinachoweza kuzalisha maneno tofauti na ULIMI

Sasa Nini huwa kinazingumza ndani ya mwili wa binadamu wakati huo huo binadamu huyo anazungumza na binadamu mwingine?

Na nini kinazungumza wakati binadamu anapoota usiku?
Ikiwa ndoto hubashiri hali fulani za binadamu huyo.

Ushahidi huu huonesha kuwa Mazungumzo ya binadamu huanzia sehemu ya ndani ya mwili zaidi na sio mdomoni pekee.

Ushahidi mwingine Ni kuwepo kwa matukio ambayo binadamu Hana uwezo kuyajua juu ya uwepo wake, utendaji Wala mwisho wake.

✓Uwepo wa Sayari na nyota.
✓Uwepo wa muda uliopo mbele au nyuma ya Dunia ya kawaida (Time travelling)
✓Ni Kweli Sayari huzunguka lakini nini husababisha mzunguko huo na utakoma lini.
✓Kifo Ni nini na ipi asili yake, kwa nini Kila kitu kinakufa (Hata hii smartphone yangu), upi utendaji wake, upi mwisho wa kifo.
✓Hivi unafahamu kitovu Cha ngozi ya binadamu na mfumo tendaji wa ukuaji wake. Na unafahamu kuwa ukuaji wa ngozi haufanani katika mwili wa Binadamu.

Mambo Ni mengi Sana.
Hujathibitisha mungu yupo kwa namna gani, tayari umerukia kuhubiri sijui "ipo nguvu ya kimungu" nikueleweje?

Umesema "ushahidi mwingine ni matukio ambayo binadamu hawezi kuyajua" utajuaje kwamba habari za mungu sio moja ya matukio usiyoyajua bali ni dhana ya kufikirika ambayo umepotoshwa tu?

Mambo mengi halafu hakuna lililoweza kuthibitisha mungu yupo what a joke?
 
Kama ambavyp wewe unaamini kuwa hakuna Mungu maana yake iyo ni imani tayari.

Kwa hiyo ninyi ni watu mna imani zenu ambazo zonakanusha imani zingine.

Mfano mimi naamini kuwa yesu sio Mungu,hii ni imani yangu maana yake naamini kuwa yesu ni binadamu wa kawaida,hiyo kuamini yesu ni binadamu kama sisi basi HIYO NI IMANI japokuwa nakanusha uungu wake.

Kwa hiyo nyie ndugu imani mnazo lakini tu ni imani zinazopinga imani zingine ma kuthibitisha imani zenu.

Kama wewe binafsi unaamini hakuna kitu Mungu.hiyo ni imani
Unaelewa nini maana ya lack of beliefs?
 
Kukaa uchi sio kuzaliwa uchi, unapata shida sana kuelezea kwasababu unataka upachike dhana potofu

Jifunze kutofautisha hilo kwanza kisha ujenge hoja
Umezaliwa uchi kama ambavyo unasema umezaliwa na lack of belief.
 
Unaelewa nini maana ya lack of beliefs?
Kuna a lack of belief na disbelieve.

Sasa wewe dogo unakana kabisa kuwa kitu fulani hakipo na mwenyewe umejieleza kabisa kuwa ulichunguza hizi imani,halafu et unakuja kusema et una a lack of belief!
 
Umelielewa swali?

Swali limeuliza hivi. Unaelewa nini maana ya lack of beliefs?

wewe dogo unakana kabisa kuwa kitu fulani hakipo na mwenyewe umejieleza kabisa kuwa ulichunguza hizi imani,halafu et unakuja kusema et una lack of belief!
 
wewe dogo unakana kabisa kuwa kitu fulani hakipo na mwenyewe umejieleza kabisa kuwa ulichunguza hizi imani,halafu et unakuja kusema et una lack of belief!
Niskilize we mtoto wa mama nikupe michapo, time nyingi ambayo we unakua umelala naamka naenda kusoma madili na babako

Unaelewa nini maana ya lack of beliefs?
 
Hivi kwanini atheists wengi wana asili ya Ukristo?
mm nadhani labda sababu kule upande wa pili kuamini uwepo wa Mungu ni lazima ukipinga sharia inafata mkondo wake . Je wajua sharia inasemaje kuhusu makafiri [wasioamini Mungu}
 
How do you know it?
Kupitia kitabu chake ambacho nimekisoma na nikapitisha akili yangu kuangalia nikakubaliana na akili kuwa ni kweli Mungu ndio chanzo cha vyote.
Kwahiyo mru akikuambia atheism ni nini utamjibuje?
Hilo sijui.

Ninachojua kuwa "lack of beliefs" ni kukosa imani khalaas.
 
mm nadhani labda sababu kule upande wa pili kuamini uwepo wa Mungu ni lazima ukipinga sharia inafata mkondo wake . Je wajua sharia inasemaje kuhusu makafiri [wasioamini Mungu}
Hata hivyo mkuu kwa muislamu aliyesoma dini ni ngumu kumkana Mungu kama ambavyo kwa wakristo waliosoma dink ni ngumu kumkana Mungu.

Mimi nahisi kwa sababu wakristo wengi hawasomi dini yao na hata ile kuaminishwa ukristo ndio dini ya HAKII sio kiviile.

Ni mtazamo wangu tu
 
mm nadhani labda sababu kule upande wa pili kuamini uwepo wa Mungu ni lazima ukipinga sharia inafata mkondo wake . Je wajua sharia inasemaje kuhusu makafiri [wasioamini Mungu}
Mbona waislamu wanazini na wakati sharia inasema wapigwe viboko au kupigwa mawe hadi kufa? unataka kusema waislamu hawaogopi sharia inasemaje kuhusu kuzini ila wanaogopa sharia kwenye kubadili dini tu?
 
Kaa na mkeo vizuri mpange atoe dhana ya uoga kichwani afungue akili awe huru asijiwekee limitation kwa dhana ya kukufuru

Kuna watu wadini walitaka kunibadilisha nifate itikadi zao za kidini wakajikuta wamebadilika wao now ni atheist wabishi sana

Hiyo yote unawezekana ukitoa uoga kichwani
kweli kabisa alafu watu wa dini wote si kwamba wanampenda mungu wao bali hofu yao ni moto au adhabu ya kaburi
 
Back
Top Bottom