Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Umeweza kutofautisha na kuona makosa yako?
Hakuna makosa hapo.

Kwa nini haukai uchi kama asili yako ambayo ni kuzaliwa uchi? kama umezalowa ukiwa na lack of belief na kusema ni asili yako basi hata kukaa uchi ni asili yako maana umezaliwa ukiwa uchi na hata wakati ukiwa bado mtoto hukuwa ukijua umuhimu wa kuvaa nguo ilikuwa unaweza hata kucheza nje ukiwa uchi.
 
Mbona waislamu wanazini na wakati sharia inasema wapigwe viboko au kupigwa mawe hadi kufa? unataka kusema waislamu hawaogopi sharia inasemaje kuhusu kuzini ila wanaogopa sharia kwenye kubadili dini tu?
kama hujui ni kwamba waislam wana dhambi kubwa na ndogo ndo maana nyingine anaweza fanya ila nyingine anakwambia mbingu zinatikisika ukiifanya
 
Kupitia kitabu chake ambacho nimekisoma na nikapitisha akili yangu kuangalia nikakubaliana na akili kuwa ni kweli Mungu ndio chanzo cha vyote.
Unajuaje kwamba ni kitabu chake na sio projects za watu tu?
Hilo sijui.

Ninachojua kuwa "lack of beliefs" ni kukosa imani khalaas.
kwasababu haujui haupaswi kuzusha uongo kusema atheism ni kuamini hakuna mungu
 
kweli kabisa alafu watu wa dini wote si kwamba wanampenda mungu wao bali hofu yao ni moto au adhabu ya kaburi
Sio kweli,kwa sababu kama ingekuwa hivyo basi tusingeona watu wa dini kufanya mambo ambayo yamekatazwa kutoka kwenye dini zao na ambayo isemwe kabisa ukiyafanya utaenda motoni.

Kuna watu wangapi wa dini ambao ni wauwaji na hufanya hayo mauji huku wakiwa wakiamini Mungu na wanachokifanya ni makosa ya kuwapeleka motoni?
 
Hakuna makosa hapo.

Kwa nini haukai uchi kama asili yako ambayo ni kuzaliwa uchi? kama umezalowa ukiwa na lack of belief na kusema ni asili yako basi hata kukaa uchi ni asili yako maana umezaliwa ukiwa uchi na hata wakati ukiwa bado mtoto hukuwa ukijua umuhimu wa kuvaa nguo ilikuwa unaweza hata kucheza nje ukiwa uchi.
Kwa hiyo mtu akikaa uchi maana yake anakua anazaliwa uchi?
 
kama hujui ni kwamba waislam wana dhambi kubwa na ndogo ndo maana nyingine anaweza fanya ila nyingine anakwambia mbingu zinatikisika ukiifanya
Maelezo yako yanajibu vp nilichokiuliza?
 
Hakuna makosa hapo.

Kwa nini haukai uchi kama asili yako ambayo ni kuzaliwa uchi? kama umezalowa ukiwa na lack of belief na kusema ni asili yako basi hata kukaa uchi ni asili yako maana umezaliwa ukiwa uchi na hata wakati ukiwa bado mtoto hukuwa ukijua umuhimu wa kuvaa nguo ilikuwa unaweza hata kucheza nje ukiwa uchi.
dini zimeletwa na watu sio MUNGU
mimi naamini MUNGU alimuumba mwanadamu akampa AKILI kitendo cha kumpa AKILI alihitimisha kazi yake
Kazi ilio baki ni sisi kutumia akili tu sio kutumia sheria zilizo wekwa na musa na wenzake sheria zinazomzuia mwanadamu asitumie akili alopewa na MUNGU wake kwa kisingizio cha kukufuru
 
Sio kweli,kwa sababu kama ingekuwa hivyo basi tusingeona watu wa dini kufanya mambo ambayo yamekatazwa kutoka kwenye dini zao na ambayo isemwe kabisa ukiyafanya utaenda motoni.

Kuna watu wangapi wa dini ambao ni wauwaji na hufanya hayo mauji huku wakiwa wakiamini Mungu na wanachokifanya ni makosa ya kuwapeleka motoni?
Inategemea na dini gani

Kwenye uislam kulingana circumstances husika kuua kunaweza kua ni ibada pia
 
Kwa hiyo mtu akikaa uchi maana yake anakua anazaliwa uchi?
Weka swali lako vizuri halieleweki.

Wewe unasema kuwa atheism ni lack of belief na kwamba hiyo ndio asili kwa maana watu wote tumezaliwa hivyo tukiwa na a lack of belief,sasa ndio nakwambia kuwa wote tulizaliwa pia na hali ya kuwa uchi kwamba tulizaliwa tukiwa uchi.

Nguo walikuwa wanatuvalisha wazazi wetu ila sie hatukuzaliwa na nguo,kama ambavyo wazazi pia walikuwa wanataka kukuingiza kufuata imani zao ila wewe ukaachana nazo na kurudi kwenye asili ya kuwa na lack of belief ila nashangaa hukurudia asili yako ya kuwa uchi maana ndivyo ulivyozaliwa hizi nguo hazina asili na wewe hukuzaliwa nazo.
 
Sio kweli,kwa sababu kama ingekuwa hivyo basi tusingeona watu wa dini kufanya mambo ambayo yamekatazwa kutoka kwenye dini zao na ambayo isemwe kabisa ukiyafanya utaenda motoni.

Kuna watu wangapi wa dini ambao ni wauwaji na hufanya hayo mauji huku wakiwa wakiamini Mungu na wanachokifanya ni makosa ya kuwapeleka motoni?
ww acha ubishi watu wa dini wanaongozwa na hofu, hofu ndo silaha kuu kwenye dini
wakristo wanamsemo wao kabisa utasikia hana HOFU YA MUNGU ndani yake
misingi ya dini imejengwa kwenye hofu

kuhusu wale wanaofanya makosa wakijua kabisa yatawapeleka motoni walio wengi sio wafuasi wa dini husika sema huwa wanapretend waonekane nao ni wacha MUNGU mbele ya jamii
Mwenyewe unajua jamii zetu za kiafrika zilivo na uwezo mdogo wa kufikiri mtu akiwa tu na mtazamo tofauti basi kapotea
 
Inategemea na dini gani

Kwenye uislam kulingana circumstances husika kuua kunaweza kua ni ibada pia
Hata kujamiana ni ibada pia kamaculikuwa hujui ila kwa mumeo au mkeo tu,kinyume na hivyo huko ni kuzini na sharia inataka upigwe mawe hadi kufa au bakora.
 
Maelezo yako yanajibu vp nilichokiuliza?
kwamba kuna dhambi wanaweza fanya sababu wanaiona ni ndogo. halafu swala la kuzini kwa mwanadamu ni gumu sana kuliepuka ukilinganisha nahilo la kubadili dini
 
Weka swali lako vizuri halieleweki.

Wewe unasema kuwa atheism ni lack of belief na kwamba hiyo ndio asili kwa maana watu wote tumezaliwa hivyo tukiwa na a lack of belief,sasa ndio nakwambia kuwa wote tulizaliwa pia na hali ya kuwa uchi kwamba tulizaliwa tukiwa uchi.

Nguo walikuwa wanatuvalisha wazazi wetu ila sie hatukuzaliwa na nguo,kama ambavyo wazazi pia walikuwa wanataka kukuingiza kufuata imani zao ila wewe ukaachana nazo na kurudi kwenye asili ya kuwa na lack of belief ila nashangaa hukurudia asili yako ya kuwa uchi maana ndivyo ulivyozaliwa hizi nguo hazina asili na wewe hukuzaliwa nazo.
Kwa hiyo ile hoja yako ya mwanzo kua asili ya watu ni kukaa uchi unaikataa?

Halafu haiwezekani mtu aliyezaliwa akazaliwa tena, kwasababu haiwezekani kuirudia hiyo hali.
 
Hata kujamiana ni ibada pia kamaculikuwa hujui ila kwa mumeo au mkeo tu,kinyume na hivyo huko ni kuzini na sharia inataka upigwe mawe hadi kufa au bakora.
Kwa maana hiyo kuua ni legal endapo utafata utaratibu wa kitabu kilivyoandika?
 
ww acha ubishi watu wa dini wanaongozwa na hofu, hofu ndo silaha kuu kwenye dini
wakristo wanamsemo wao kabisa utasikia hana HOFU YA MUNGU ndani yake
misingi ya dini imejengwa kwenye hofu

kuhusu wale wanaofanya makosa wakijua kabisa yatawapeleka motoni walio wengi sio wafuasi wa dini husika sema huwa wanapretend waonekane nao ni wacha MUNGU mbele ya jamii
Mwenyewe unajua jamii zetu za kiafrika zilivo na uwezo mdogo wa kufikiri mtu akiwa tu na mtazamo tofauti basi kapotea
Hao unaosema sio wafuasi wa dini husika ndio hao wakati mwengine hutubu dhambi zao,sasa kama walikuwa wanafanya hayo makosa yenye adhabu za kwenda motoni kwa sababu sio waumini wa hizo dini iweje tena watubu makosa yao na kutaka kusamehewa? tena hufanya hivyo katika misingi ya dini husika.

Hata hizi sheria zetu za duniani ndio maana zina adhabu mbalimbali kwa mtu ambaye atafanya kinyume na sheria,hizo adhabu ndio hukufanya wewe uogope kufanya makosa kama ingekuwa hakuna adhabu basi watu wasingeogopa kufanya makosa.

Sasa unachochanganya wewe ni kusema kuwa et watu wanaamini kwa sababu ya hofu,hilo sio kweli ndio maana nimekupa mfano wa watu wa dini wanaamini kabisa ukifanya jambo fulani adhabu yake ni motoni ila bado wanafanya hilo jambo.
 
Kwa maana hiyo kuua ni legal endapo utafata utaratibu wa kitabu kilivyoandika?
Juzi tu Magufuli katoka kusamehe watu adhabu ya kunyongwa,kwa maana walihukumiwa kuuliwa(kunyongwa). Na hiyo ni kwa mujibu wa sheria ila wewe leo ukijiamulia tu mkunyonga tu mwanao hiyo inakuwa kesi ya mauaji.
 
Kwa maana hiyo kuua ni legal endapo utafata utaratibu wa kitabu kilivyoandika?
Mkuu unaamini karma (whats goes around must back around) , kama inafanya kazi ?
 
Unajuaje kwamba ni kitabu chake na sio projects za watu tu?
Kwa kushirikiana na akili nikaitumia vizuri akili yangu kufikiri ndipo nikajua ni kitabu chake na wala sio project za kutungwa.
 
Back
Top Bottom