Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Amekukataza?

Mlikutana wapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh shughuli pevu
Usinichoshe na maswali yako...Kama Wewe unaTAKA kumlamba Mungu usikie Ana ladha ya chumvi ndo umani kuwa yupo ..hiyo Ni juu yako..
 
Wakati unamuowa ulikubali kwenda kanisani?
 
ki academia unacho kiongelea kinaitwa proving a negative...
Sasa mimi ni mdai wa nini hapa? Nimerudia sana kueleza kuwa hakuna nilipodai kuwa nina ushahidi wa kuwepo Mungu bali nina amini kuwepo Mungu ila kinachohitajika hapa ni ushahidi. Sasa mimi nauliza huo ushahidi watakiwa uweje kwa jinsi ambavyo huyo Mungu alivyoelezwa? Maana ushahidi unategemea sifa za hicho kitu kinachotakiwa kutolewa ushahidi.

Lengo si kutaka wanaopinga uwepo wa Mungu ndio wasithibitishe kuwa hakuna Mungu bali nimeona kama huo ushahidi wanaoutaka wa kuwepo Mungu hawajui unafananaje au unatakiwa uweje,ni kana kwamba wamekariri kudai ushahidi na huku wakiwa na fikra za kwamba haiwezekani kuwepo huo ushahidi.

Na kwa upande mwengine hao wanaojaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu pengine nao hawajaelewa maana ya kuthibitisha kuwepo Mungu,kwahiyo nimeuliza hilo swali kwa faida ya pande zote mbili.
 
Swali langu ni kwamba umethibitishaje Mungu mkubwa ndiye aliyeishusha hiyo Quran unayoiita Tukufu? Sitaki uniambie ulishuhudia kwa sababu najua hukuwepo miaka hiyo inayodaiwa kushushwa, tumia uthibitisho mwingine wowote unaoweza kukubalika na mtu mzima mwenye akili timamu anayeweza kung'amua kati fictions na non-fictions.
Wewe una ushahidi kuwa hakuwepo kipindi hicho au umetumia akili kuweza kujua hakuwepo kipindi hicho?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh shughuli pevu
Usinichoshe na maswali yako...Kama Wewe unaTAKA kumlamba Mungu usikie Ana ladha ya chumvi ndo umani kuwa yupo ..hiyo Ni juu yako..
We ulijuaje yupo?

Angalau utushirikishe mbinu uliyoitumia kumjua mungu nasisi tumjue
 
Kinachoshangaza anapotokea Atheist waislamu na wakristo huungana kumshambulia...wakati kwa mujibu wa maandiko ya vitabu vyao huabudu mungu tofauti which means Jehovah siyo Allah.
Hujaona wakati mwengine wasioamini dini ila wanaamini Mungu huungana na atheists kuwashambulia waumini wa dini?
 
Na swali la kwanini atheist wengi ni wakristo lilikuwa worldwide sio Tanzania tu....
Mkuu unajibu swali la kwanini atheist wengi walikuwa wakristo au unaelezea baadhi ya matukio tu? Kwa sababu ukitaka tuelezee hivyo vitukio basi hata kwenye ukristo matukio kama hayo yapo mengi tu kuna watu walibadili dini wakapokonywa hadi vijiko na wengine wanakosana na familia zao kisa kubadili dini.

Na nchi kama Tanzania unakuta koo nyingi zimechanganya dini mbili.
 
Wewe ni believer ambaye ni theist kutoka theism. Na msingi wenu ni kuamini nguvu ya supernatural power (Mungu)

So according to that brief explanation, unaweza ukasema theism ni imani ya kuwepo kwa mungu ila theist hana imani ya kuwepo kwa mungu?
Siwezi kusema hivyo.

Na ndio maana nakushangaa wewe unapokataa nisihusishe masuala ya kuamini au kutokuamini unapozungumzia maana ya atheism.
 
Kama unauliza kwa mantiki ambayo sio ya kutaka kuthibitisha basi hakuna umuhimu wa kukomalia upatiwe vigezo vya uthibitisho

Yes ukiwa na imani huna uhakika

Kama huna mashaka thibitisha mungu yupo nje ya imani
Unajua maana ya kuwa na mashaka?
 
Hujaona wakati mwengine wasioamini dini ila wanaamini Mungu huungana na atheists kuwashambulia waumini wa dini

Siwezi kusema hivyo.

Na ndio maana nakushangaa wewe unapokataa nisihusishe masuala ya kuamini au kutokuamini unapozungumzia maana ya atheism.
Ndo kwanza nasikia kwako...unaweza nipa mfano labda?
 
Siwezi kusema hivyo.

Na ndio maana nakushangaa wewe unapokataa nisihusishe masuala ya kuamini au kutokuamini unapozungumzia maana ya atheism.
Kwanini huwezi kusema hivyo?
 
Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.

Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini

Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
Jibu murua kabisa ... Mimi Nimezaliwa na waislam na Ni atheist na ninafurahia hiyo Hali ... Mambo ya kuambiwa sijui muddy aliongea na ngamia halafu ngamia nao wakamjibu halafu niamini huo ubwege siwezi kuuruhusu maishani mwangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom