Ndo maana tunafika sehemu...Tunasema Nyie makafiri...Amini mnacho Amini..na sisi tuta Amini tunacho Amini...
Kuna maelfu ya dini, unaweza usiwe kafir kwenye dini yako ya kiislamu ila kwenye dini ya mtu mwingine ni zaidi ya kafir
Haijalishi ni kiasi gani watu wanaamini dini yako ila tambua idadi ya watu wanaoamini ni ndogo kuliko idadi ambayo watu hawaiamini.
Mfano mzuri ni kwamba duniani kuna zaidi ya watu bilion 7 katika hao bilion 1 tu ndio waislam, kwa maana hiyo billion 6 nzima waliobakia wote wanapingana na dini yako.
Hoja zako za kuwa Mpaka Mungu umshike kwa mkono ndo uamini..
Please please please, waumini naona mna new trend ya kutuwekea maneno mdomoni ambayo hatujayasema. Na hii imewalemaza kutokana na mifumo yenu ya kidini kuendeshwa kwa dhana za kutunga na wingi wa conspiracy kama shuhuda za uongo (muhamad kupasua mwezi vipande viwili)
mbona una Amini una Akili..
Nani alikuambia nina amini nina akili?
ushawai ishika Akili yako..
Wapi nimetaka kumshika mungu ili nijue yupo?
Upepo haushikiki, hauonekani ila upo na unathibitishika. Kwanini isiwe hivyo na kwa mungu?
ushawai ishika pumzi yako?..ushawai ishika Roho yako...ambayo ikitoka umekufa?.
Dhana potofu uliyoijenga kichwani mwako kufikiri kwamba nahitaji kumshika mungu ili nijue yupo ndio inayokufanya u reason kishamba hivi
Ila Mimi uisilamu umenifanya niwe mzuri Sana..
Hata makeup inaweza fanya hivyo, so nayo tuite muujiza?
NAJIVUNIA UISILAMU WANGU...
Ukiwa madrasa hii ina make sense zaidi
Wewe jivunie huo U Athiest wako..
Hii ndio nature ya watu wote, watu wote tulizaliwa atheist, wazazi wako ndio wakaku delude mpaka ukawa muislam
So unaweza ukawa kafir kwa kupinga asili yako ya atheism ambayo ulizaliwa nayo