Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Wewe mwenyewe unaamini mambo mengi sana ambayo ni ushirikina tu.
Washirikina ndo Najua watachomwa Moto Wala hawatasamehewa wakifa katika shirk
Kuhusu makafii wengine...Sina Elimu yakutosha KUJIBU SWALI Hilo.
 
Kwa hiyo anga ambalo ni intangible ulitaka liwe na nguzo ambazo ni tangible ndio uamini kua sio mungu?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Mkuuu...Mungu yupo tena Anatenda Yaliyo makuu....Mimi naamini yupo na siku ya hukumu ipo...

Mimi naamini Mungu..na Kuna Muda nahisi kabisa Mungu Yu karibu Nami...nahisi kabisa uwepo wa Mungu katika maisha YANGU....kuna Muda namkumbuka Mungu na matendo Yake Makuu juu yaangu.....I have felt God's presence in my life..

Nampenda Mungu wangu na Mtume want...naupenda Uislamu wangu...
Na ndo njia ninayotaka NIFE NAYO.

Amini unachokiamini.....
 
Wewe mwenyewe unaamini mambo mengi sana ambayo ni ushirikina tu.
Ushirikina Ni kuamini visivyo Mungu..kuamini Kuna kikagula,kihirizi au Kuna mwanadamu anauwezo wakufanya afanyayo Mungu...

Mungu wangu Shahidi SINA chembe ya shirk ndani yangu...labda Kama Sijui undani wa KITU...Siwezi jua hii Ni shirki nikaifanya...NAMUOGOPA SANA Mungu wangu
 
Una uhakika gani Mungu mkubwa ndiye aliyesema hivyo kwenye Quran? Unaweza kuthibitisha kuwa yeye hasa ndiye aliyesema hivyo?
Kwa mujibu wa Mungu mkubwa...Muweza yote. Amesema kwenye Quran kuwa hakika Dini Bora mbele ya Mungu Ni Uislamu.
 
Nisome kwa utulivu utanielewa.

Dini yangu ni ya kweli na sina shaka na dini yangu hata chembe.

Bali nilichokiandika ni hali ya binadamu ambayo ipo baina yetu. Ni kama humu JF unavyoona Wakristo kwa Waislam wanazozana kila mmojawapo anasema dini yake ndiyo ya kweli na Mungu huyu ni wa kweli na huyu si wa kweli na wengineo wanasema hakuna Mungu kabisa!
Mizozo ipo ni kwasababu hakuna mwenye ameweza kuthibitisha mungu yupo

Kama huna shaka basi thibitisha mungu yupo usiweke limitation ya kujibu maswali kwa kisingizio cha akili ya binadamu haiwezi kuelewa mambo ya mungu

Naomba ukianza kuthibitisha uanze kwa kum define mungu ni nini
 
Kwahyo jana hukuenda Msikitini wewe tayari sio muislam leo umeenda umerudi kwenye uislam kesho hujaenda umetoka tena kwenye uislam kama danadana...Bana eeh em fanya kama unaongea na wasomi sio wadogo zako apo nyumbani.
Kuacha dini ni kutoamini tena katika hiyo dini
Onesha source inayosema asiyeswali swala tano kila siku siyo muislam
Huwezi kuwa na Imani ya KWELI ...ukaacha Swala..kuwa na imani Ni kutaka Radhi za Allah...Ni kufuata maarisho na kuacha makatazo..Ni kuamini HAKUNA apasaye kuabudiwa kwa Haki Ila Mungu...Kama unaamini HAKUNA apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah...

Na tumeumbwa ili tuabudu..unaachaje Swala kwa mfano?

H
 
Una uhakika gani Mungu mkubwa ndiye aliyesema hivyo kwenye Quran? Unaweza kuthibitisha kuwa yeye hasa ndiye aliyesema hivyo?
Mungu ndo ameshusha Quran Tukufu. Iwe mungozo kwa Waisilamu.....Sasa Sijui unaTAKA nikwambie NILISHUDIA inashuka..

Kuya ayul kaafiruun.....Amini unachokiamini na Mimi nitaamini nachokiamini....Siwezi toka kwa Imani yangu nikaamini katika visivyo Mungu...HERI KUFA
 
Kanisani nako wanasema Usiompokea kristo wotee motoni.

Kwahiyo nikiongea kwa imani ya kristo DADA MOTO UNAKUSUBIRI.

#YNWA
Yoda kauliza swali zuri sana; unajuaje kwamba mtu binafsi akuandika maneno hayo unayoyasema kabla ya kukuletea hicho kitabu enzi za ukoloni na kukulazimisha ukikalili kwa kukutishia mijeledi na utumwa.

uoni kwamba ni kitu cha ajabu kwamba kitabu kinachogusa maneno ya mungu kimeandikwa, sio kwa lugha ambayo dunia nzima inaongea, bali kiarabu; lugha ya wakoloni walivamia ardhi ya wazee wetu na kuwageuza watumwa kwa kuwauza kama bidhaa, kuwachinja, wabaka, na kuwadhalilisha mpaka leo.

ujishtukii kwamba hakuna watu wengi wenye ngozi yako kwenye kitabu kizima, na hadith; ni kama vile mwandishi hakuzingatia wasukuma, wamakonde, wahaya, na wanageria

Mungu ndo ameshusha Quran Tukufu. Iwe mungozo kwa Waisilamu.....Sasa Sijui unaTAKA nikwambie NILISHUDIA inashuka..

Kuya ayul kaafiruun.....Amini unachokiamini na Mimi nitaamini nachokiamini....Siwezi toka kwa Imani yangu ninaamini katika visivyo Mungu...HERI KUFA
 
Mkuuu...Mungu yupo tena Anatenda Yaliyo makuu...
Maneno haya yanapaswa kutolewa baada ya kuthibitisha
.Mimi naamini yupo na siku ya hukumu ipo...
Hujakatazwa na ni uhuru wako, hata mimi nafurahi kuona watu wanautumia uhuru wao hata kama atasema kunguni ndio mungu wake ila ukisema in fact kua mungu yupo unatakiwa ututhibitishie hapa kwasababu uko nje ya imani

Na ukisema mungu yupo kwa imani maana yake huna uhakika na msimamo wako kwasababu ni dhana ambayo haithibitishiki
Mimi naamini Mungu..na Kuna Muda nahisi kabisa Mungu Yu karibu Nami...
Ukitumia hisia iwe chanzo cha kupata majibu kuna siku unaweza jihisi wewe ndiye mungu mwenyewe
nahisi kabisa uwepo wa Mungu katika maisha YANGU....kuna Muda namkumbuka Mungu na matendo Yake Makuu juu yaangu.....I have felt God's presence in my life..
Hata mimi kipindi niko mdogo nilikua niangalia yale ma movie ya kizombi kisha nikawa natembea usiku peke yangu yani kuna muda nilikua nahisi kabisa kua zombi wale niliowaona muda mchache kwenye tv wananifuata kwa nyuma so kila time nilikua nageuka nyuma kwa hofu

Thats my personal experience, but does that mean zombies are real exist?
Nampenda Mungu wangu na Mtume want...naupenda Uislamu wangu...
Na ndo njia ninayotaka NIFE NAYO.

Amini unachokiamini.....
Kuupenda uislam hakumaanishi uislam ni dini ya kweli au allah yupo, unawazungumziaje na wahindu wanaoipenda dini yao ambayo mungu wao ni ng'ombe?
 
Yoda kauliza swali zuri sana; unajuaje kwamba mtu binafsi akuandika maneno hayo unayoyasema kabla ya kukuletea hicho kitabu enzi za ukoloni na kukulazimisha ukikalili kwa kukutishia mijeledi na utumwa.

uoni kwamba ni kitu cha ajabu kwamba kitabu kinachogusa maneno ya mungu kimeandikwa, sio kwa lugha ambayo dunia nzima inaongea, bali kiarabu; lugha ya wakoloni walivamia ardhi ya wazee wetu na kuwageuza watumwa kwa kuwauza kama bidhaa, kuwachinja, wabaka, na kuwadhalilisha mpaka leo.

ujishtukii kwamba hakuna watu wengi wenye ngozi yako kwenye kitabu kizima, na hadith; ni kama vile mwandishi hakuzingatia wasukuma, wamakonde, wahaya, na wanageria
Mtume alikua uarabuni..Ulitaka quran ishuke kwa Kiingereza?
 
Maneno haya yanapaswa kutolewa baada ya kuthibitisha

Hujakatazwa na ni uhuru wako, hata mimi nafurahi kuona watu wanautumia uhuru wao hata kama atasema kunguni ndio mungu wake ila ukisema in fact kua mungu yupo unatakiwa ututhibitishie hapa kwasababu uko nje ya imani

Na ukisema mungu yupo kwa imani maana yake huna uhakika na msimamo wako kwasababu ni dhana ambayo haithibitishiki

Ukitumia hisia iwe chanzo cha kupata majibu kuna siku unaweza jihisi wewe ndiye mungu mwenyewe

Hata mimi kipindi niko mdogo nilikua niangalia yale ma movie ya kizombi kisha nikawa natembea usiku peke yangu yani kuna muda nilikua nahisi kabisa kua zombi wale niliowaona muda mchache kwenye tv wananifuata kwa nyuma so kila time nilikua nageuka nyuma kwa hofu

Thats my personal experience, but does that mean zombies are real exist?

Kuupenda uislam hakumaanishi uislam ni dini ya kweli au allah yupo, unawazungumziaje na wahindu wanaoipenda dini yao ambayo mungu wao ni ng'ombe?
Ndo maana tunafika sehemu...Tunasema Nyie makafiri...Amini mnacho Amini..na sisi tuta Amini tunacho Amini...

Hoja zako za kuwa Mpaka Mungu umshike kwa mkono ndo uamini..mbona una Amini una Akili..ushawai ishika Akili yako..ushawai ishika pumzi yako?..ushawai ishika Roho yako...ambayo ikitoka umekufa?.

Ila Mimi uisilamu umenifanya niwe mzuri Sana..NAJIVUNIA UISILAMU WANGU...

Wewe jivunie huo U Athiest wako..
 
Mtume alikua uarabuni..Ulitaka quran ishuke kwa Kiingereza?
Ujawahi kujiuliza kwanini mitume yote inatokwa uarabuni; kwanini sio shinyanga, namibia, au kenya;

kwani hakuna kiongozi mmoja wa dini mwenye ngozi nyeusi na ametokea africa

ni swali tu
 
Swali langu ni kwamba umethibitishaje Mungu mkubwa ndiye aliyeishusha hiyo Quran unayoiita Tukufu? Sitaki uniambie ulishuhudia kwa sababu najua hukuwepo miaka hiyo inayodaiwa kushushwa, tumia uthibitisho mwingine wowote unaoweza kukubalika na mtu mzima mwenye akili timamu anayeweza kung'amua kati fictions na non-fictions.
Mungu ndo ameshusha Quran Tukufu. Iwe mungozo kwa Waisilamu.....Sasa Sijui unaTAKA nikwambie NILISHUDIA inashuka..

Kuya ayul kaafiruun.....Amini unachokiamini na Mimi nitaamini nachokiamini....Siwezi toka kwa Imani yangu nikaamini katika visivyo Mungu...HERI KUFA
 
Huwezi kuwa na Imani ya KWELI ...ukaacha Swala..kuwa na imani Ni kutaka Radhi za Allah...Ni kufuata maarisho na kuacha makatazo..Ni kuamini HAKUNA apasaye kuabudiwa kwa Haki Ila Mungu...Kama unaamini HAKUNA apasaye kuabudiwa isipokuwa Allah...
Kwahyo siku moja usiposwali swala tano hiyo siku wewe sio muislam?
 
Ndo maana tunafika sehemu...Tunasema Nyie makafiri...Amini mnacho Amini..na sisi tuta Amini tunacho Amini...
hivi vitu vyote vilisha wahi kushikwa: akili ni combination ya vitu vingi; lakini ukisoma neuronal activity unaweza ukaona inavyo fanya kazi ; hapa nikimaanisha umeme kwenye ubongo unaweza kupima. uwezo wetu wa kupima utendaji kazi wa ubongo bado ni finyo ila kila siku hatua kubwa za fikiwa, sikuizi wanaweza hati kutumia ememe wa ubongo kuendesha robot

kuhusu pumzi, ni simple sana, CO2 na oxygen: machine zipo tena cheap

roho si kipimo kibovu kwani kinaunganisha sehemu nyingi kwa wakati mmoja; mwili wa binadamu unafanya kazi ka unit, chembe cheme za damu ni sehemu ya mwili kama vile ubongo ulivyo. Ni kitu kigumu sana kumjenga binadamu kwani unahitaji component billion na zifanye kazi kwa pamoja. Kikemikali na ki-physikia tunaweza kupima uhai, lakini mpaka sasa hatuwezi kuuridisha katika level kubwa.

tunaweza kwa mfano kurudisha uhahi wa kiungo cha mwili: macho, mkono, masikio; lakini ubongo bado efforts zinaendelea

POINT YANGU NI KWAMBA: VYOTE UNAVYOVISEMA VINA USHAHIDI UNAOWEZA KUPIMWA: lakini mungu wako hana ushahidi wowote zaidi ya maneno yaliandikwa kwenye vitabu vya waarabu na kusambazwa kwa mijeledi ya waarabu walipovamia bara la waafrika kutafuta watumwa.🙂
 
kujisifia kuwa 'mimi ni atheist' ni ujinga, ulimbukeni na ujuha!
Na kusjisifia na dini iliyoletwa na mzungu enzi za ukoloni ; au dini iliyoletwa na mwarabu aliyekuja kutafuta watumwa ... ni nini?

kusifia kitabu kilichojaa manabii wenye ngozi nyeupe na malaika weupe wakati we mweusi

Aibu hii, dah
 
Back
Top Bottom