Kwanza nani amekwambia ya kuwa "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah" ni dhana ? Hii siyo dhana, bali ni hakika, kwahiyo kwanza tafuta tamko stahiki uliweke kwenye dhana, kisha jibu swali nililo uliza.Nataka nijue hiyo dhana ya "kila kitu" ni universal principle au ni kikanuni ulichokiweka ili kikupe majibu ambayo yapo umejisetia?
Yaani namaanisha hiyo kanuni isiwe na neno "isipokua" au neno lolote ambalo linaonesha kuweka mpaka katika dhana ambayo hutaki kuihusisha katika kundi la "kila kitu"
Huu uoga unautoa wapi, ukisoma ulichokiandika hapo umeweka machaguo mawili, sasa kama unajua unachokiandika wewe jibu kwa mapito ya machaguo yote hayo mawili, wa ila swali langu liko wazi sana.
Nasisitiza ya kuwa silei ujinga na watu wake.