Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Hiyo njia yako(dini) uliichagua mwenyewe au ulizaliwa katika hiyo njia ukaendelamo huko huko?
Nilizaliwa Dini mseto Mama tofauti baba tifauti..nikaishia maisha yasiyo Dini ...nikaamua kuchagua hii Dini

Sijalazimishwa na Kuna ndungu zangu wamechagua Dini nyingine. Nawanaponda balaa changuo langu
 
Kwa nini ulichagua uislamu na sio hiyo dini nyingine?

SI nimekwambi KWANGU mimi hii Ni Dini ya Haki na sahihi mbele ya Mungu.

Hakika Dini Bora mbele ya Mungu Ni uisilamu..pia napend maisha ya kiisilamu..
Muisilamu mwenye kuijua Dini Yake Ni mtu mzuri sanaaaaa...
.simaanishi Watu wengine Ni wabaya..laaa....

Kuna watu wazuri na SI waislamu na vice versa
 
Nikweli Kama Wewe sio Muisilamu Ni KAFIR...ndo IPO hivyo
It desn'nt fck matter uwe unaamini katika mungu au vinginevyo ila usipokua muislam wewe ni kafir

So baada ya kuishiwa hoja defensively kwenye kuran yenu author akaamua ku switch kwa kutumia silaha ya maneno what a joke but I ain't laughin?

So kama mimi nitaenda motoni kwa misingi ya dini yako kua ni kaffir basi jua kwamba hata wewe kuna maelfu ya dini hayakutambui na yamekuhesabu kua ni wa motoni

Kama huogopi kutishiwa moto kwenye dini zingine ambazo unapingana nazo what makes you think atheist could be such coward?
 
Je atheist ni sawa na scientology?
Hapana, Atheist ni mtu asiyeamini kuwepo kwa mungu kwani hakuna ushahidi unaodhihilisha kuwepo kwa mungu

scientology ni dini amabayo wanaamini kuwa mwanadamu ni mtu asiyeweza kufa, kiroho (thetan) ambaye anakaa katika mwili wa binadamu. Thetan ilikuwa na na maisha ya zamani yasiyohesabika na inazingatiwa katika maandishi yao, kwamba maisha ya thetan kabla ya kuwasili Duniani, yalikuwa maisha ya kinje ya ulimwengu (extraterrestial).
Mafundisho yao yanasema kwamba scientology yeyote anayepitia mafunzo yao hatimaye ataweza kufikia hiyo hali ya thetan.

Nimesoma wikipedia
 
Mkuu...Sijui unatukana Nini...Mara ngapi nasema uamini unacho Amini..Mimi kwenda motoni kwa mujibu wa Dini yako..hainisumbui Wala hainishughulishi..

Ila ukafir wako mbele ya macho yangu bado Upo pale pale.

Usichukie. Mkuu wewe Amini Katika hicho uaminicho
 
Ulipimaje ukajua hiyo ndiyo dini ya haki na sahihi tofauti na hiyo dini nyingine? Ulitumia vigezo gani?
SI nimekwambi KWANGU mimi hii Ni Dini ya Haki na sahihi mbele ya Mungu.

Hakika Dini Bora mbele ya Mungu Ni uisilamu..pia napend maisha ya kiisilamu..
Muisilamu mwenye kuijua Dini Yake Ni mtu mzuri sanaaaaa...
.simaanishi Watu wengine Ni wabaya..laaa....

Kuna watu wazuri na SI waislamu na vice versa
 
Mkuu...Sijui unatukana Nini...Mara ngapi nasema uamini unacho Amini..Mimi kwenda motoni kwa mujibu wa Dini yako..hainisumbui Wala hainishughulishi..

Ila ukafir wako mbele ya macho yangu bado Upo pale pale.

Usichukie. Mkuu wewe Amini Katika hicho uaminicho
Sijatukana na wala lile neno halijasimama kama tusi, ila limewekwa kimtego kujua kama uko interested na maneno ya kuudhi kama neno kaffir ambalo mko huru kulitumia kuonesha chuki zenu kwa wasio waislamu

Nimegundua kwamba sio kwamba hauko interested na matusi bali hauko interested na baadhi ya matusi. Yani kuna matusi ambayo kwako umeyahalalisha kuyatumia kwa watu kabisa ila at the same time ukipewa matusi unakua wakwanza kulalamika

Mimi umeniita kafir, hilo kwangu ni tusi. Vipi we nikikuita faithfooler how does it sound?

Halafu pia hakuna mtu ambaye inamsumbua akili kuingia motoni kwa maelezo ya dini nyingine, so hiyo ni point niliyokuonesha kua dhana ya moto katika dini sio silaha ya mashiko kumfanya mtu afuate imani hiyo kwa hofu ya moto wakati maelfu ya dini yameonesha wote waliokinyume nao watapatiwa adhabu ya moto

usiniwekee mawazo yako kichwani kwangu. Wapi nimekuambia mimi kua kuna kitu na kiamini hivyo unanihusia niendelee kuamini hivyo?
 
Tufunge mjadala Athiest....Mungu Ni mwema na mwenye huruma Sana . nawaruzuku Waja wake wote..wanaomkashifu, wasiomuamini na wanao mshirikisha.

Hivyo basi Mimi nakuombea Mwenyezi Mungu aulanishe moyo wako Upate kuuona ukuu wa Mungu katika maisha yako...hakika Mungu Ni msamehevu anasamehe mazambi hata Kama ni wingi wa bahari.

Mimi nakuombea Mungu akuongoze akupe hidaya..
.sikuchukiaa kwa kuwa Athiest bali TU haujapata Hidaya...
.unaweza ukawa mwema Sana kuliko wanao mtaja Mungu..
Lakini bado hatuwezi kupotezea ukuu wa Mungu katika maisha yetu.

Nawasilisha
CreditAnalys
.
Adios
 
Yap huo ni mfumo wa maisha na sio dini

Elements za dini unazijua?

Kwa mujibu wa uislam dini ni moja tu uislam je unakubaliana na hoja hiyo?

Kwa mujibu wa uislam wasio na dini wote ni makafir

Duniani kuna maelfu ya dini na maelfu ya miungu, so kwa mujibu wako dini hizo zote zinatambulika kwenye uislam kwasababu?
Kuna swali napenda wauliza watu WA dini, hivi siku ya mwisho itakuwaje Nani atasema mwisho WA Dunia Kati ya yehova, jesus n'a Allah.. Je watu watakao ingia mbinguni based on Christian belief Si wanatakiwa waingie motoni based on Islamic beliefs Sasa itakuwaje hapo.. Jesus n'a Allah watapigana kugombania watu wao
 
Hapana, Atheist ni mtu asiyeamini kuwepo kwa mungu kwani hakuna ushahidi unaodhihilisha kuwepo kwa mungu

scientology ni dini amabayo wanaamini kuwa mwanadamu ni mtu asiyeweza kufa, kiroho (thetan) ambaye anakaa katika mwili wa binadamu. Thetan ilikuwa na na maisha ya zamani yasiyohesabika na inazingatiwa katika maandishi yao, kwamba maisha ya thetan kabla ya kuwasili Duniani, yalikuwa maisha ya kinje ya ulimwengu (extraterrestial).
Mafundisho yao yanasema kwamba scientology yeyote anayepitia mafunzo yao hatimaye ataweza kufikia hiyo hali ya thetan.

Nimesoma wikipedia
So scientology ni Kama budha
 
Kinachoshangaza anapotokea Atheist waislamu na wakristo huungana kumshambulia...wakati kwa mujibu wa maandiko ya vitabu vyao huabudu mungu tofauti which means Jehovah siyo Allah.
 
Tufunge mjadala Athiest....Mungu Ni mwema na mwenye huruma sana. nawaruzuku Waja wake wote..wanaomkashifu, wasiomuamini na wanao mshirikisha...
Mjadala hauwezi ukafungwa bila kuangalia fact ulizotoa kuonesha mungu yupo zinatosheleza kusimama kama uthibitisho au la

Na kwa bahati mbaya hujaweza hata kujaribu kwa namna yeyote kuthibitisha mungu yupo, kwa hiyo kwa muktadha huo hata mjadala ulikua bado hujauanza.

Usiniombee kwa mwenyezi mungu wako wakufikirika ambaye umepewa nafasi umthibitishe umeshindwa, kama umeshindwa kuthibitisha huyo mungu yupo hata hizo hekaya za kuniombea ni useless.

Tukianza kufanya compilation ya waumini gani ni mabingwa wa kuhubiri hutafua dafu, kuna wenzako wananena hadi kwa lugha humu. So ukitaka tutumie mahubiri badala ya hoja hata wewe utasanda.

Thibitisha mungu yupo.
 
Mjadala hauwezi ukafungwa bila kuangalia fact ulizotoa kuonesha mungu yupo zinatosheleza kusimama kama uthibitisho au la

Na kwa bahati mbaya hujaweza hata kujaribu kwa namna yeyote kuthibitisha mungu yupo, kwa hiyo kwa muktadha huo hata mjadala ulikua bado hujauanza...
Mungu wetu ametukataza kuengage in Vain talk.

Adios
 
Prove kwake taratibu taratibu Mungu hayupo
Mkuuu.. Sijui nisipo Amini Katika Mungu ntaamini katika Nini?..KWANGU Mungu wangu anaanza vingine vinafuata.

Ndo maana sitaki kumsikiliza hoja zake za mungu hayupo..kwani Mimi namuona ni mtu asie nashukurani, mtu alipata hasara...
 
Back
Top Bottom