hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,358
Well saidBiblia ni moja ya vitabu vilivyotufanya tuwe atheist leo hii
Well saidBiblia ni moja ya vitabu vilivyotufanya tuwe atheist leo hii
Absolutely [emoji419]Kama simu imetengenezwa haimaanishi aliyetengeneza alijitengeneza
Kama dunia na vinginevyo viliumbwa haimaanishi aliyeumba alijiumba au haitaji muumbaji
Ukisema muumbaji wa ulimwengu hana muumba unakua huna tofauti na anayekubali simu ina mtengenezaji ila ulimwengu hauna muumbaji
Huyo akili ndogo achana nae ..watu wanachinjwa nchi za uarabuni kisa tu wamezini halafu anasema hakuna kulazimishana katika dini ... Yaani mtu anachinjwa kwaajili ya kuutumia mwili wake mwenyewe vile anavyoona ina mpendeza halafu ana hukumiwa kifo ...huu siujuhaMkuu labda kwa sababu unaishi Tanzania bara, ambayo mostly ni nchi inayofuata secularism
Kwa hiyo ni uongo Zanzibar hawakamatwi wakifungua restaurants kipindi Cha Ramadhani?
Nchi za Saudia, Iran, Misri, Qatar n.k hawakati watu kwa kunywa pombe sababu ni kinyume na Uislam?
Hakuna adhabu ya kifo kwa wanaoacha Uislam?View attachment 1666281
Nchi gani hiyo ukibadili dini adhabu yake ni kifo? unaonekana unakaa sana kwenye vijiwe vya Kahawa.Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.
Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini
Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
Noted [emoji817][emoji3514][emoji419]Wote tumezaliwa tukiwa atheist, dini tulikuja kuzifata baada ya kuja kuwa indoctrinated
Mtu kuwa atheist haimaanishi kabadili asili yake bali kairejea asili yake ambayo mwanzo aliikacha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila waarabu akili hawana ... Wana theory nyingi Sana za kijinga kijinga [emoji16][emoji16]Waarabu waongo wanakuingiza chaka nawe unawakubalia?
Wao wenyewe wanakuambia duniani kuna dini moja tu uislamu na wanakuambia ukristo sio dini maana hata kitabu chao chenyewe cha biblia ndani yake hakuna maelezo yakitaja dini ya ukristo
Sasa kama kila mtu ana dini kwanini ukristo mnasema sio dini?
Waarabu wanavi conspiracy vya kitoto sana na dhana yao moja ya kijinga and laughable ni pale wanapoutetea uislamu kua ulikuwepo kabla ya ukristo kwa kigezo kua neno uislamu ni kunyenyekea mbele za mungu so watu waliokua wananyenyekea kabla ya dini hiyo wote ni waislam
Hao ni wahuni tu wasikuchanganye
Ndio nina uhakika sina mashaka.Kutokua na hakika
Unauhakika mungu yupo?
Wewe itakuwa hujafuatilia sana hii mijadala,hata humu usifikiri wote ni wakana Mungu bali wengine wanaamini Mungu ila wanadai wanapinga Mungu anayeelezwa kwenye hizi dini.Ndo kwanza nasikia kwako...unaweza nipa mfano labda?
Nchi gani hiyo ukibadili dini adhabu yake ni kifo? unaonekana unakaa sana kwenye vijiwe vya Kahawa.
Thibitisha mungu yupo kwa uhakikaNdio nina uhakika sina mashaka.
Sasa hayo ni majina ya nchi au vikundi?Nchi zenye Taliban,Boko Haram, ISIS na Alshabaab
Nimekuwekea screenshot hapo chiniNchi gani hiyo ukibadili dini adhabu yake ni kifo? unaonekana unakaa sana kwenye vijiwe vya Kahawa.
Atheist gani hata hujala nyama ya MTU!!!Wakuu habari,
Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.
Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine.
Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.
Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.
Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.
Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Lakini mzee kama una aminiThibitisha mungu yupo kwa uhakika
Ulimwengu ulijiumba wenyewe bila Mungu
Mungu alijiumba mwenyewe
japo sijaweka dhana hiyo kwa munasaba kwamba nimedai kua naamini ulimwengu ulijiumba wenyewe ila naweza kujenga hoja kupitia dhana hiyo (though sija declare kwamba naisimamia)Lakini mzee kama una amini
Kwanini ni ngumu kwako wewe kuamini
Huwez kuwa na hoja endapo tuta'stick' kwenye hii Mada
[emoji419] " THE SOURCE OF UNIVERSE "
Hicho Ndicho kithibitisho cha MUNGU
Mkuuu.. Sijui nisipo Amini Katika Mungu ntaamini katika Nini?..KWANGU Mungu wangu anaanza vingine vinafuata.
Ndo maana sitaki kumsikiliza hoja zake za mungu hayupo..kwani Mimi namuona ni mtu asie nashukurani, mtu alipata hasara...
Tatizo umekariri huo msemo wa "Thibitisha Mungu yupo" huna unaloweza lengine zaidi ya hapo,nakukumbusha tena mie sijadai kuwa nina uthibitisho wa kuwepo Mungu ila sina shaka juu ya imani yangu ya uwepo wa Mungu.Thibitisha mungu yupo kwa uhakika