Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Naona anashindwa aanzie wapi, yaani ukiwa huamini Mungu kwenye jamii zetu huku unaonekana mtu wa ajabu kabisa.
Ni matatizo ya jamii zenye elimu ndogo.

Kuna wakati nilikuwa nataka kuchumbia Zanzibar.Mtoto wa Kipemba alikuwa kanishika akili.

Kwao swala tano vibaya sana. Sasa ananijua mimi atheist lakini nimempagawisha.

Nikamuuliza, kwenu tutawambiaje wakitaka nishike juzuu nisome?

Akasema tutawaambia wewe Komredi (Marxist) wataelewa tu kuwa kuna Makomredi wamesoma hawaamini kuna Mungu.

Ikawa tatizo limekwisha.

Sasa huko kwingine watu hawajui hata Marxism ni nini utaanza kuwaelezaje wewe huamini Mungu?

Kwanza hawakuamini, hawakubali kwamba watu wa hivyo wapo. Watakuona umerukwa na akili tu.
 
Kumbe mpaka Pemba kuna watu wana ideas za Marxism, tuseme ulipata ngekewa mkuu.

Uko sahihi kuhusu elimu mkuu bado ni tatizo sana, nilikuwa na shaka sana na hizi imani. Ila nilisoma na bado nasoma kile kitabu ulipost humu siku nyingi "Philosophy of Religion: An anthology"

Kimenijenga sana kwa kweli.
 
Kitabu kimesheheni hoja zote za falsafa ya dini, si hoja za kupinga tu uwepo wa Mungu, bali mpaka hoja za kutetea uwepo wa Mungu na kujadili kila aina ya Mungu.

Nikisikia mtu kasoma kitabu kama kile naona tunaweza kujadiliana mambo mengi sana.
 
Tatizo umekariri huo msemo wa "Thibitisha Mungu yupo" huna unaloweza lengine zaidi ya hapo,nakukumbusha tena mie sijadai kuwa nina uthibitisho wa kuwepo Mungu ila sina shaka juu ya imani yangu ya uwepo wa Mungu.
Nataka nijue namimi kwa hakika na ndio maana nakuomba uthibitisho

Thibitisha mungu yupo kwa hakika nami nimjue
 
Atheist umeoa?!
Huyo uliyemuoa ametokea wapi kama hakuumbwa na Mungu?!
 
Kabla hujamwambia, mpe kidogo mawazo ya Karl Marx, akishaelewa mwambie wewe ni mfuasi wake.
 
Hata mtu sio kitu, ila unapokuja kuanza kuelezea dhana ya kila kitu unakua hufungwi na mipaka huachi kitu una include vyote vilivyo vitu na visivyo vitu
Mungu hamithiliki kwa dhana yoyote, kwa dhana ya kila kitu isiyoacha, isiyo na mipaka iliyojumuisha vyote vilivyo vitu na visivyo vitu Mungu hamithiliki kwa hiyo hali.
Kokote kule ambako mawazo yenu yanafikiri mungu yupo, naweza nikajenga hoja kwa kum-refer as kitu kwa kutumia universal principle "kila kitu kina chanzo"
Kokote kule ambako mawazo yako yanafikiri na ukajenga hoja kwa kum-refer Mungu as kitu kwa kutumia universal principle "kila kitu kina chanzo" nijibu haya: Ni nini universal principle? Nini kimekufahamisha wewe Mungu anafungamana na universal principle?
Mungu hajaumbwa na hana chanzo", ebu thibitisha mungu yupo kwanza kisha huko mbeleni tutajua kama anamuumba au lah
Kabla ya kuenda mbali nini maana ya kuthibitisha? Tukijua maana, tutaielezea maana.
 
muite mkeo halafu mwambie "mke wangu mimi ni atheist"
 
Ni matatizo ya jamii zenye elimu ndogo.

Kuna wakati nilikuwa nataka kuchumbia Zanzibar.Mtoto wa Kipemba alikuwa kanishika akili.

Kwao swala tano vibaya sana. Sasa ananijua mimi atheist lakini nimempagawisha.

Nikamuuliza, kwenu tutawambiaje wakitaka nishike juzuu nisome?

Akasema tutawaambia wewe Komredi (Marxist) wataelewa tu kuwa kuna Makomredi wamesoma hawaamini kuna Mungu.

Ikawa tatizo limekwisha.

Sasa huko kwingine watu hawajui hata Marxism ni nini utaanza kuwaelezaje wewe huamini Mungu?

Kwanza hawakuamini, hawakubali kwamba watu wa hivyo wapo. Watakuona umerukwa na akili tu.
Sasa nyie msio Amini...Mungu ndoa mnafunga kwa mujibu wa Nini?....Yaani ili iweje...
 
Kitabu kimesheheni hoja zote za falsafa ya dini, si hoja za kupinga tu uwepo wa Mungu, bali mpaka hoja za kutetea uwepo wa Mungu na kujadili kila aina ya Mungu.

Nikisikia mtu kasoma kitabu kama kile naona tunaweza kujadiliana mambo mengi sana.
Sasa shida inakuja wengi wetu hatupendi kujisomea hasa vitabu.
 
Mungu hamithiliki kwa dhana yoyote,
Mkuu hiki ulichokiandika hapa ni sawa na kusema hayupo.

Niambie kisichopo kinaweza kumithilika kwa dhana ipi?
kwa dhana ya kila kitu isiyoacha, isiyo na mipaka iliyojumuisha vyote vilivyo vitu na visivyo vitu Mungu hamithiliki kwa hiyo hali.
Kama ambavyo visivyopo haviwezekani kumithilika. Na mungu hivyo hivyo hayupo hivyo hsmithiliki
Kokote kule ambako mawazo yako yanafikiri na ukajenga hoja kwa kum-refer Mungu as kitu kwa kutumia universal principle "kila kitu kina chanzo" nijibu haya: Ni nini universal principle? Nini kimekufahamisha wewe Mungu anafungamana na universal principle?
KKila kitu kina chanzo" hiyo ndio universal principle so ukiitumia hii principle kutaka kupata majibu basi dhana ya ukomo hautakiwi kuiweka. Ukisema kila ktu kina chanzo isipokua mungu hapo utakua umetumia logical fallacy, vinginevyo kanuno ya kila kitu kina chanzo uiweke pembeni
Kabla ya kuenda mbali nini maana ya kuthibitisha? Tukijua maana, tutaielezea maana.
Kutoa ushahidi wa jambo kwa kizingatia misingi na kanuni za kimantiki ili kupata jawabu la uhakika juu ya madai ambayo umeyaweka

Thibitisha sasa mungu yupo
 
Nataka nijue namimi kwa hakika na ndio maana nakuomba uthibitisho

Thibitisha mungu yupo kwa hakika nami nimjue
Wewe unataka uthibitisho na mimi nakwambia sina huo uthibitisho ila naona hunielewa,ole hali ya kukariri kumekuathiri.

Mimi sijadai kuwa nina uthibitisho sasa sijui inakuaje unataka nikupe uthibitisho?
 
Asili ya ndoa(kuowana) ni jambo la kiimani sasa sijui kinyume na hivyo unaoa ili iweje?
 
Wewe unataka uthibitisho na mimi nakwambia sina huo uthibitisho ila naona hunielewa,ole hali ya kukariri kumekuathiri.

Mimi sijadai kuwa nina uthibitisho sasa sijui inakuaje unataka nikupe uthibitisho?
Sasa kama huna uthibitisho maana yake hujui ukweli wa kile unachokisema una hakika nacho kua kipo

Mimi nimedai uthibitisho kwa anayesema mungu yupo, huna uthibitisho hivyo huwezi kuthibitisha, huwezi kuthibitisha ni kwasababu ni mungu wa kufikirika tu
 
Unaweza ukamuona mtu amekukonyeza(ni ukweli kabisa) ila ukashindwa kuthibitisha kuwa huyo mtu kuwa ni kweli kakukonyeza.

Ishu ni kwamba mimi naamini Mungu yupo bila ya shaka na nina sababu za kuamini,sasa wewe unataka uthibitisho kitu ambacho mie sijadai kuwa ninacho.

Juzi kati hapa kuna baba mmoja aliachiwa huru kutoka jela baada ya kukuka jela kama miaka 7 hivi kutokana na kesi ya kumbaka mwanae, alihukumiwa kifungo cha maisha ila mahakama ikaja kugundua kuwa yule mtoto aliyedai kubakwa ni kwamba alitoa ushahidi wa uongo mahakamani.
 
Back
Top Bottom