Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Tulifunga ndoa ya kiserikali jwa kuwa kulikuwa na 'benefits' fulani za kiserikali ambazo angezipata endapo tungefunga ndoa, na ndoa ya kanisani mimi sikuwa tayari nayo, so ikabidi akubali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa uliambiwa ofsini leteni cheti cha ndoa ili uandike madai kuwa una mke baada ya kulipoti kazini,
 
Sa ni mke wako unshindwa nini kumueleza? Hebu acha uoga huo tafuta muda kabla hujamsugua mweleze hlf msugue vizuri
 
Wakuu habari,

Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.

Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine

Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.

Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.

Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.

Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
Mpige Pumbu vizuri tu na automatically hata Yeye atakuwa Atheist kama ulivyo.
 
Naamini uwepo wa nguvu kuu ya UHAI NA UWEPO ktika ulimwengu, lakini huyo Mungu wa kwenye biblia Ni UTOPOLO wa kiwango Cha SGR, eti yesu anaabudiwa..YESU FARA Kama mafara wengine
 
najua,... kila mtu abaki na mtizamo wake!/
Inaonekana hujalielewa swali

Swali halijasema nani achukue mtizamo wa mwingine

Ulivyosema dini ya ukristo sio sahihi na haijatimia mbona hukuzingatia umuhimu wa mtizamo ya wakristo juu ya imani zao?

Kwanini swala la "mtizamo" liwe kinga kuitetea dini yako na iwe silaha kukandamiza dini za wengine?

We ulisema kuran imeweza kuthibitisha mungu yupo, sasa thibitisha
 
ya Mungu wangu.
Ali burnt some people and this news reached Ibn 'Abbas, who said, "Had I been in his place I would not have burnt them, as the Prophet said, 'Don't punish (anybody) with Allah's Punishment.' No doubt, I would have killed them, for the Prophet said, 'If somebody (a Muslim) discards his religion, kill him.'"

— Sahih al-Bukhari, 4:52:260Sahih al-Bukhari, 9:84:57
 
Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.

Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini

Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
Mkuu mbona kuna watu kibao tu wamebadili dini kutoka uislamu na kuwa wakristo na hawajafanywa kitu wanaishi maisha yao kama kawaida au hujawahi kuona?
 
Ali burnt some people and this news reached Ibn 'Abbas, who said, "Had I been in his place I would not have burnt them, as the Prophet said, 'Don't punish (anybody) with Allah's Punishment.' No doubt, I would have killed them, for the Prophet said, 'If somebody (a Muslim) discards his religion, kill him.'"

— Sahih al-Bukhari, 4:52:260Sahih al-Bukhari, 9:84:57
We jamaa unahangaikana na uislamu, mshauri mtoa mada aongozane na mke wake kwenda kanisani
 
Back
Top Bottom