Nitamsaidiaje Anna?

Nitamsaidiaje Anna?

Mleta mada labda nikuambie sasa sio suala la kumsaidia anna tenaa manake mabint waluanza na kuvaa uchi wakiamni watawavutia wanaule sasa wanaume wanaona kukaa kwao uchi ni hali ya kawaida so wa kapifa hatua nyingine mbele kuliwa ndogo ndo itawavutia zaid madhara yake ndo hayaa.Na ni zur kweli hawana haja ya kupiga harua nyingine hii inatutoshaaaaa
 
Kweli wengi hawataipenda waimeze hivyo hivyo tu maana nimeshashudia huku nilipo mabinti wanataka makubwa kupita uwezo wao kisa showoff mitandaoni(hasa wale kila leo anavaa nguo mpya,viatu vipya,weaving za laki na kitu,kucha etc)

Bado hapo hajaweka bajeti kumkomoa jirani kwa music bab kubwa,gari matata,kila kiwanja nyota anzia tano cha starehe keshaenda.
hii ni comment ngumu yenye ukwel wake ambayo watu weng hatutaipenda
 
Kuna kamsemo kanasema hivi "Slaver has no right"...ukishaikubali na ikakaa akilini mwako kamwe hautakuja kuwa na maamuzi zaidi ni maombi ya nguvu...sasa anna amekuwa mtumwa wa pesa badala ya anna kuitawala pesa, imekuwa pesa imemtawala anna...Mungu nisaidie mweeehh!!!
 
Kweli wengi hawataipenda waimeze hivyo hivyo tu maana nimeshashudia huku nilipo mabinti wanataka makubwa kupita uwezo wao kisa showoff mitandaoni(hasa wale kila leo anavaa nguo mpya,viatu vipya,weaving za laki na kitu,kucha etc)

Bado hapo hajaweka bajeti kumkomoa jirani kwa music bab kubwa,gari matata,kila kiwanja nyota anzia tano cha starehe keshaenda.
Kuna kabinti flani nilikaombaga namba ya simu (sitaki maswali). Nikakabeep kakasevu namba yangu bhana...

Ikapita siku nne kimyakimya... siku ya tano nikakumbana na huu ujumbe "Sasa wewe mwanaume uliniomba namba kwa ajili ya nini???"

Hili swali lazima liingie kwenye waraka wa Bonny kwa ajili ya conclusion.
 
Kweli wengi hawataipenda waimeze hivyo hivyo tu maana nimeshashudia huku nilipo mabinti wanataka makubwa kupita uwezo wao kisa showoff mitandaoni(hasa wale kila leo anavaa nguo mpya,viatu vipya,weaving za laki na kitu,kucha etc)

Bado hapo hajaweka bajeti kumkomoa jirani kwa music bab kubwa,gari matata,kila kiwanja nyota anzia tano cha starehe keshaenda.
asante mungu niliumbwa mwanaume
 
Back
Top Bottom