Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,103
Fuata nyuki ule asali,fuata mwenye hela ufaidi
fund kwenye ubora wako ushajua na mdogo wake atakuja
fund kwenye ubora wako ushajua na mdogo wake atakuja
hyo laki tatu sawa vp ile laki mbil ya nyumban kila mwez la msing avumilie tu miez yake mitatu awe na mil 3.3 then atapata nyumba mahalaKwa hiyo laki tatu kwa mwezi angepata chumba kule kwetu Kwamtogole na kumuomba Mungu ampatie mume mwema.
inawezekana wewe ndio umempotosha annaFuata nyuki ule asali,fuata mwenye hela ufaidi
Pia Anna anajihisi kama mabaki kwani huyu baba hawezi kupigia simu, hayuko free nae, in a way anajiona kama wale Malaya wa barabarani, mzee akimaliza shida zake huyoo.Kikubwa unachoweza fanya kwa Anna kwanza kama yawezekana mtoe out ya nguvu hata kma ni mji wa Karibu den zungumza nae kwakua ni yeye mwenyewe ameichoka hio hali basi ni rahisi sana mnachopaswa kufanya hapo ni usanii wowote ule utakao muwezesha yye kupuza pendo toka kwa bosi kwa maana ya kma vile ameshapata mchumba wa kumuoa lkin akimuahidi boss ataendelea kuwa nae den aombe kuhama hapo anapoishi sasa aende nyumba nyingine yakupanga yenye watu.
Pili zile siku ambazo alikua anakutana na boss ajaribu kuzopunguza kabisa na badala yake uwe nae out ww
Ila shosti yangu wewe marafiki zako ni wakareee...Watoto wanapokwenda kuanza maisha mbali na upeo wa macho yetu, ni vizuri kuwaasa lakini watakayochagua kufanya angalau ulishayaongelea yote.
inawezekana wewe ndio umempotosha anna
ha ha ha umemponza anna kwel za kuambiwa changanya na zako we ulimwambia anna "et si mara moja tu nan ataona?" leo hii unamkanaMie mstaarabu,anna kapitiliza
Hamna mtu muoga kama mwanaume hakika ni uoga tu unamsumbua mnazo njia nyingi sana zakumuogopesha uyo mwanaume ili asiwe na hali aliyonayo sasa kwa Anna kwasababu ana mke na anaipenda familiya yake amini mnaweza tena anaweza akamuomba msamaha Anna na kumpa hela nyingi sana zakumtunzia siri ili isiwe aibu kwakePia Anna anajihisi kama mabaki kwani huyu baba hawezi kupigia simu, hayuko free nae, in a way anajiona kama wale Malaya wa barabarani, mzee akimaliza shida zake huyoo.
Kwa kweli ni machukizo, maandiko yanasema, "wawili wanapoingiliana kinyume na maumbile Dunia inatikisika"Kuharibu naïve innocent girls mkuu ni dhambi.
Hili nalo ni neno mkuu.Hamna mtu muoga kama mwanaume hakika ni uoga tu unamsumbua mnazo njia nyingi sana zakumuogopesha uyo mwanaume ili asiwe na hali aliyonayo sasa kwa Anna kwasababu ana mke na anaipenda familiya yake amini mnaweza tena anaweza akamuomba msamaha Anna na kumpa hela nyingi sana zakumtunzia siri ili isiwe aibu kwake