Nitamsaidiaje Anna?

Nitamsaidiaje Anna?

Na wazazi lazima tufanye reflection na kuangalia jinsi watoto wanavyopata pesa za kutusaidia, hili linawafanya hata vijana wajiingize kuuza unga ili kuokoa maisha ya nyumbani, mtoto anapokupa msaada jiulize amewezaje wakati wewe ulishindwa?
Nakuunga mkono kwa huo mtazamo wako mkuu .

Ila hilo jambo linakuwa gumu sana kwa mzazi kulifikiria turudi kwa Anna kwenye kutafuta ajira alisaidiana na shangazi yake mpaka amapeta ajira shangazi amethitibisha hayo mengine yaliyoibuka shanagazi wala hakuyajua . Na hata akijakuuliza hatopata ukweli wake. Maana itabaki kuwa ni siri ya muhusika tu .

Sasa kwa wazazi kama hao wa Anna wao wanaishi mkoa taofauti na binti yao inakuwa ngumu sana kujua mwenendo wa binti na shughuri zake.
 
Kwa elimu ya baba Anna lazima afahamu mshahara wa mtu aliyemaliza form VI na kupata direct employment, anaweza kufanya yote haya na abakie na pesa ya yeye kujikumu mjini?
 
Annie.. sometimes fiction inaweza kukugusa. Ni mtoto wa mwalimu as you said. Daaah haya tu
 
Mkuu ndiyo maana niliomba radhi, ninaelewa kutakuwa na watoto wa walimu wengi tu wenye majina ya Anna.
 
Huyu Anna hata asisingizie maisha magumu kiukwel kama alipata hata kaz ya laki tatu na wakat wengine hawana hata hzo za lak tatu haya maisha aliyapenda kwa tamaa zake.
Pili kwa mtu mwenye akili hzo milion anazopewa kila nwez angekuwa anajipanga na maisha yake ili kuweza kumuacha boss ila sitashangaa kama hakuwa hata na saving. Cha muhimu kwavile keshachoka huo mchezo aanze kumchuna huyo boss ajiwekee saving asisubiri kupewa hyo mil moja tu aanze kuomba pesa mara kws mara huku anajipanga hata na biashara yyte akishakuwa amesimama aache kaz aondoke alipopangiwa akaanzishe maisha mengine
 
Word mkuu.
 
Kwani hiyo hela ya mshahara wake ilikua hautoshi? kwanza mwanamme akikutaka lazima afanye unavyokata wewe,huyo imekuwaje mpaka akaabiwa geuka na nikitu ambacho hajazowea mara ya kwanza uistahmililie hiyo kitu mbelie mashauri
huko nyuma si ndio balaaaa, hizi shida zetu nazo sometimes tuseme nazo tusiwe watumwa,mapenzi ni starehe sasa ikiwa anageuzwa tuu kama samaki raha yake ikowapi? mwambie aondoke zake hiyo hela basi,atamtia maradhi bure,hapo khatari ishakua manake ikiwa mchezo ndio huo duu anakosa break yakuzuwia hata chochote na kwenye kujifungua ndio balaaaa....
 
daaaah hali ni mbaya... mabinti tupunguze tamaa ingawa Anna alifanya apate kusaidia familia... na kuachana na huyo bwana means ni kupunguza au kushindwa kuisaidia familia. ila utu wake ni bora kuliko kitu, anaweza pata rizki kwa njia nyingine ya halali..!!! nimesikitika!
 
Kwani hiyo hela ya mshahara wake ilikua hautoshi? kwanza mwanamme akikutaka lazima afanye unavyokata wewe,huyo imekuwaje mpaka akaabiwa geuka na nikitu ambacho hajazowea mara ya kwanza uistahmililie hiyo kitu mbelie mashauri
huko nyuma si ndio balaaaa, hizi shida zetu nazo sometimes tuseme nazo tusiwe watumwa,mapenzi ni starehe sasa ikiwa anageuzwa tuu kama samaki raha yake ikowapi? mwambie aondoke zake hiyo hela basi,atamtia maradhi bure,hapo khatari ishakua manake ikiwa mchezo ndio huo duu anakosa break yakuzuwia hata chochote na kwenye kujifungua ndio balaaaa....
Mara nyingi tuna shindwa maisha kwa kuishi maisha ya wazazi na ndugu zako, alivyo mzuri na alikuja mjini akiwa decent girl, angeweza kupata kijana wa kufunga nae ndoa na wakaweka budget ya kusaidia kusomesha wadogo zake.
 
Sorry to say this Darling sijui yeye au simlaumu yeye kufanya may be hakua na choice lakini ingekua mimi I swear nisingekubali anitumie anavyotaka yeye kisa nataka kuwasaidia ndugu,lets say hakua na mshauri ila mimi ange ji sort huyo bwana muharibifu na anasahau kua mwenyezi mungu anamuona,anyway mwambie haja chelewa she can still walk away manake huyu bwana akisha mtumia atamtafuta mwengine na yeye inakuwaje?
 
Ni katika visa vilivyoniumiza sana rohoni, Anna was a naïve little girl, hakujua kuwa power aliyokuwa nayo angeweza kusema no.
 
Anna tamaa imemjaa mwache azibuliwe choo kwani huyo Anna anadhani mwenye shida ni peke yake?wapo ambao wanazo zaidi yake inategemea tu ustahimilivu na mipango ya matumaini aliyokua nayo mtu na sio kuudhalilisha utu wako kwa kuchukua waume za watu na udhalilishaji wakuliwa kabang
 
Na wazazi lazima tufanye reflection na kuangalia jinsi watoto wanavyopata pesa za kutusaidia, hili linawafanya hata vijana wajiingize kuuza unga ili kuokoa maisha ya nyumbani, mtoto anapokupa msaada jiulize amewezaje wakati wewe ulishindwa?

Nimeyapenda maneno haya
 
Anna tamaa imemjaa mwache azibuliwe choo kwani huyo Anna anadhani mwenye shida ni peke yake?wapo ambao wanazo zaidi yake inategemea tu ustahimilivu na mipango ya matumaini aliyokua nayo mtu na sio kuudhalilisha utu wako kwa kuchukua waume za watu na udhalilishaji wakuliwa kabang
Inasikitisha, kwa kweli siku ya kwanza kutamkiwa hilo angemwambia nenda nitakupa jibu, huku unahama kurudi kwa shangazi na kumwambia huwezi mambo hayo. Msaada wa laki mbili kuwatumia wazazi akiwa kwa shangazi mbona ulikuwa mkubwa sana.
 
Sky, hii ya leo nzito. Tamaa mbaya sana, mbona laki tatu inatosha sana kama kianzio
 
Back
Top Bottom