Nitamsaidiaje Anna?

Nitamsaidiaje Anna?

Na nyinyi wanaume mnao waharibu watoto wa wenzenu namna hii, hamfikirii kuwa na nyinyi mmezaa watoto wa kike, mna dada zenu na pia wapwa wenu?
kwa imani yangu huo mchezo ni dhambi kubwa sana..ila kwa watu wa magharibi ni kawaida...
 
na wasi wasi na wewe maana hupitwi na ahughuli wewe mwanamke sky eclat
 
kwa imani yangu huo mchezo ni dhambi kubwa sana..ila kwa watu wa magharibi ni kawaida...
Huu mchezo ni moja ya sababu za kuteketea kwa Sodoma na Gomora, haijalishi uwe magharibi, mashariki, kusini au kaskazini ni dhambi kubwa sana inayomchukiza Mungu.
 
Huu mchezo ni moja ya sababu za kuteketea kwa Sodoma na Gomora, haijalishi uwe magharibi, mashariki, kusini au kaskazini ni dhambi kubwa sana inayomchukiza Mungu.
huo mchezo ni dhambi kubwa....na wengi wanapenda dhambi
 
Na nyinyi wanaume mnao waharibu watoto wa wenzenu namna hii, hamfikirii kuwa na nyinyi mmezaa watoto wa kike, mna dada zenu na pia wapwa wenu?
kama Anna akiwa mjanja anaweza kutumia msemo usemao tumikia kafiri upate mradi wako, awe anatumia vizuri hiyo milioni apatayo kisha asevu pisa kwa nguvu, ikishatosha mtaji aachane na huyo bwana, amwachie nyumba na gari na kazi aache kisha asepe zake.
 
SasabAnna haeleweli maana kama amechoka ataacha ila hawezi fikiria mawili eti anataka kuacha huku anaogopa atakosa msaada...asilete ujinga wake hapa....kama vipi aachae afanya maamuxi magumu au asizuge aendelee kama anahisi msaada utakosekana
 
Huu uzi umenifanya nipatwe na jazba, baada ya kutengeneza taswira ya anacho fanyiwa Anna
 
Pesa Hizi....
Ngoja nipambane tu uyo mwanangu akija kuamua aamua kwastarehe zake....
Maana Anaa Kashasign in tayari na njia yakurudi ishafungwa.
 
Masikini Anna ameamua kusolve tatizo kwa kuongeza tatizo. Inanikumbusha usemi huu " today's problems are results of yesterday's solutions ".
 
Mimi Nadhani Anna hana mshauri.

Huwezi ukatuma hela nyumbani kila mwezi, kila mwezi. Kwa sababu kuna siku utakuwa huna hela au kazi.

Anna, anatakiwa awe na goals. Aulize nyumbani ni biashara gani wanaweza kuifanya, ili kama ni kutuma hela, awe anatuma kuongeza capital na hiyo itakuwa mara chache. Nyumbani wakifanya biashara, hata yeye siku akikwama wao ndiyo watamtumia hela.

Hii itamletea ukombozi wa kutokufanyiwa sodomy. Awe na goals tu. Ila huo mchezo kama umeingia kwenye damu, utamcorrupt akili yake.
 
Na wazazi lazima tufanye reflection na kuangalia jinsi watoto wanavyopata pesa za kutusaidia, hili linawafanya hata vijana wajiingize kuuza unga ili kuokoa maisha ya nyumbani, mtoto anapokupa msaada jiulize amewezaje wakati wewe ulishindwa?
True.
 
Mimi Nadhani Anna hana mshauri.

Huwezi ukatuma hela nyumbani kila mwezi, kila mwezi. Kwa sababu kuna siku utakuwa huna hela au kazi.

Anna, anatakiwa awe na goals. Aulize nyumbani ni biashara gani wanaweza kuifanya, ili kama ni kutuma hela, awe anatuma kuongeza capital na hiyo itakuwa mara chache. Nyumbani wakifanya biashara, hata yeye siku akikwama wao ndiyo watamtumia hela.

Hii itamletea ukombozi wa kutokufanyiwa sodomy. Awe na goals tu. Ila huo mchezo kama umeingia kwenye damu, utamcorrupt akili yake.
Asante sana mkuu.
 
Aisee kuna mabinti wanapenda makubwa uwezo hawana matokeo yake ndio hYa wanaishia kuwa watumwa.

Bonny unaitwa huku
Anna hakulazimishwa. Kagawa kwa hiari yake. Kachukua kisingizio cha hali mbaya ya maisha kugawa tundu la mavi...

Tundu ni lake na uamuzi ni wake... Kama anafikiri anaweza kuibeba dunia peke yake... aendelee kugawa tundu hilo... baadae bosi atataka tundu la pua... ampe tu maana kishaamua.... Hata akiamia masikioni ampe tu ili atimize ndoto yake...

Nimemaliza...
 
Hii misemo siipend kwa kweli atakayenifananisha na fulan jibu nitakalompa lazima anichukieanichukie. misemo inaponza
Kuna wazazi wanapenda sana kufananisha, utamsikia anasema "mtoto wa flani amekwenda mjini juzi tu lakini ameshamjengea baba yake nyumba" maneno kama haya yanavunja moyo sana vijana.
 
Anna hakulazimishwa. Kagawa kwa hiari yake. Kachukua kisingizio cha hali mbaya ya maisha kugawa tundu la mavi...

Tundu ni lake na uamuzi ni wake... Kama anafikiri anaweza kuibeba dunia peke yake... aendelee kugawa tundu hilo... baadae bosi atataka tundu la pua... ampe tu maana kishaamua.... Hata akiamia masikioni ampe tu ili atimize ndoto yake...

Nimemaliza...
hii ni comment ngumu yenye ukwel wake ambayo watu weng hatutaipenda
 
Back
Top Bottom