Nitamsaidiaje Anna?

Nitamsaidiaje Anna?

teh teh teh, na wewe ushawahi kukutana nao mkuu??
Sana mkuu ,

Akina Anna ,Neema na Beatrice hawa nimecheza nao sana viduku yaani sikuhangaika sana wala nini

Sijui kwanini wako hivi .

Wepesi mno kutoa mzigo .
 
Kwaiyo mkuu kakusimulia kabisa? Duh hana aibu
Huwezi kufahamu uhusiano wangu na yeye ukoje, mkuu mradi ujumbe umefika mengine tuyaache, au unataka nipotee humu jukwaani?
 
Sasa mbona huyu boss demand zake ni kubwa sana.
Lakini hata wewe umekiri kuwa Boss amemsaidia sana huyo Anna. Sasa anaweza kupeleka mshahara wake wote nyumbani bila kuugusa. Kama mshahara wake ni 300ktu take home. Boss sasa anampa 1million every month hapo kuna increment ya 700k toka kwenye kipato chake halali cha 300k. hiyo ni sawa 233%!!! Hapo hatujaweka house rent fully paid maybe the house is fully furnished.
Sasa Boss kaomba kitu kimoja tu!!! Huoni hata yeye Boss anahitaji kupata value for money services?!!!
Anyway sishabikii huo ubazazi ila tu the bottomline ni shortcuts always zina gharama...
Unless kama umeongezea chumvi katika kisa hiki, lakini kama sivyo Boss claims zake ni ndogo sana.
 
Lakini hata wewe umekiri kuwa Boss amemsaidia sana huyo Anna. Sasa anaweza kupeleka mshahara wake wote nyumbani bila kuugusa. Kama mshahara wake ni 300ktu take home. Boss sasa anampa 1million every month hapo kuna increment ya 700k toka kwenye kipato chake halali cha 300k. hiyo ni sawa 233%!!! Hapo hatujaweka house rent fully paid maybe the house is fully furnished.
Sasa Boss kaomba kitu kimoja tu!!! Huoni hata yeye Boss anahitaji kupata value for money services?!!!
Anyway sishabikii huo ubazazi ila tu the bottomline ni shortcuts always zina gharama...
Unless kama umeongezea chumvi katika kisa hiki, lakini kama sivyo Boss claims zake ni ndogo sana.
Mkuu nimeileta kama ilivyo, hapa msiponiona mjue kibarua kimeota nyasi.
 
Huwezi kufahamu uhusiano wangu na yeye ukoje, mkuu mradi ujumbe umefika mengine tuyaache, au unataka nipotee humu jukwaani?
Ila aliyataka mwenyewe,vya bure vina gharama,hiyo ndo gharama yenyewe na.gari kapewa, kama amechoka mwambie aache kula vya bure atafute vya kwake vya kutolea jasho
 
Habari za J3 wapendwa

Leo hii nimepata kesi ya Anna, Anna ni mtoto wa kwanza katika familia yao, baba yake ni mwalimu mkuu wa shule huko kwao mkoa ninauhifadhi. Anna alifaulu darasa la saba na kujiunga na shule ya secondary, majibu yake ya IV yalimwezesha kujiunga na form V.

Elimu ya Anna akiwa form V na VI elimu ya Anna haikuwa nyepesi, wakati huo wadogo zake wengine watatu walikuwa secondary, mzee alijitahidi kusaidia familia lakini mshahara wake haukukidhi mahitaji ya familia. Hali hii ilimfanya Anna awe na ari ya kutafuta kazi mara akimaliza masomo yake.

Anna ni binti mrembo sana na pia ni mzuri mwenye natural beauty. Mjini alifikia kwa shangazi yake, shangazi pamoja na Anna walihangaika kutafuta kazi na Anna alifanikiwa kuajiriwa katika kampuni moja, mshahara ukiwa 300,000 take home kwa mwezi. Kwa kweli katika zile pesa Anna alihakikisha anapeleka 200,000 kwa wazazi wake kila mwezi.

Kwa urembo wa Anna, ni wanaume wengi sana walimsumbua kwa urafiki, Anna alijikuta ameanguka katika penzi zito la boss wa kampuni yao, boss huyu kitu cha kwanza alichofanya ni kumpangishia Anna nyumba, alifanikiwa kumpatia guest wing ya mtu yenye chumba kimoja cha kulala jiko, choo na sebule, alimnunulia Anna usafiri, hivi vitu vilimshawishi Anna kuhama kutoka kwa shangazi yake.

Boss huyu alimkabidhi Anna 1000,000 kila mwisho wa mwezi, kwa pesa hizi Anna aliongeza msaada kidogo kwao, aliwapelekea 300,000 yote anayopata kutoka katika mshahara wake. Wadogo zake wote waliweza kusoma.

Tatizo ni kuwa, kibosile huyu kwanza halali kwa Anna, anakuja tu akitoka kazini, ikifika saa mbili usiku anaaga kuwahi kwake, hili linamfanya Anna abakie mpweke sana. La pili hafanyi kingine chochote Zaidi ya kumuingilia Anna kinyume cha maumbile, ameshamwambia kuwa anampenda sana mke wake na hawezi hata siku moja kumuomba hilo jambo hivyo sababu ya yeye kutafuta nyumba ndogo ni kupata mchezo huo.

Anna alijikuta mtegoni kwasababu kibosile alimuanzishia jambo hilo baada ya kuhama kutoka kwa shangazi, Anna aliogopa kurudi pia na yeye alitaka kujaribu hiyo kitu. Kwakweli Anna amechoshwa na mchezo huu, lakini anaogopa kumwacha akakosa ule msaada unaomwezesha kuishi mjini.

Jina la Anna ni lakubuni na ninaomba radhi kwa yeyote nitakaemkwaza kwa habari hii.
Daaah pole kwa anna, huo mchezo wa nyuma ameshauanza sidhan km atakuja kuacha, atapata tabu sn akija kuolewa mume akagundua alifanyaga huo mchezo
 
Ila aliyataka mwenyewe,vya bure vina gharama,hiyo ndo gharama yenyewe na.gari kapewa, kama amechoka mwambie aache kula vya bure atafute vya kwake vya kutolea jasho
Tunatakiwa kuwafundisha watoto wetu kuwa independent tangu wakiwa wadogo. Dunia hii imejaa mabaradhuli. Ukitaka vya bure kuna gharama yake. Wakati mwingine hiyo gharama inaweza kukutoa uhai wako kam si kukudhalilisha.
 
Sky Eclat hiki kisa kinasikitisha sana. Anna yupo njiapanda ngumu familia inamtegemea yeye, kibosile kashikilia kibarua chake na maisha yake yeye yameshikiliwa na kibarua alichopewa na kibosile.

Ukitazama hivyo vitatu ni vizito zito kuliko hayo yote ni kutumika kinyume na maumbile. Ni uchafu ambao kwa Anna ameingiziwa huo mchezo wenye mtego wa kukosa yale mambo makuu matatu kama angekataa kutoa mzigo kwa kibosile.

Nina imani nawe Sky Eclat kuwa unaweza kumsaidia ili arudishe thamani yake ambayo huenda nafsini kwake ameshanza kujihisi hana thamani na pia kuacha mara moja huo mtumiko wa kinyume na maumbile.

Pole kwake sana Anna.
 
Mkuu katika imani ya dini yangu tunafundishwa kuwa unapofanya uchafu wa zinaa na binti wa mtu au mke wa mtu basi hilo ni deni na wewe utakuja kulilipa tu. Hivyo anaweza lipa binti yako au dada yako au hata mke wako vile vile hata mama yako mzazi anaweza akalipa deni lako . Ni vitu vya kuvikimbia hivi tusije kuwapa shida wasiohusika maana ipo kama nature na hauwezi kuiepuka.

Kwa mfano kuna rafiki yangu japo yeye ananizidi sana umri kabla ya kuwa na familia alikuwa alikuwa napenda sana kuwaingilia kinyume na maumbile wanawake tofauti tofauti sasa hivi ameshakuwa mtu mzima na binti yake wa kwanza amemamliza kidatio cha nne ila pale mtaani kwao anavuma kwa sifa ya kuwa anatoa tako na bila kuliwa tako hajisikii kama amefanya mapenzi.

So ni kitu ambayo sisi wanaume tunakuja kuwapa shida kizazi chetu kulipa deni la uchafu wetu na tamaa zetu ninamuomba Allah aniepushe na hii dhambi ya liwatwi.
Mmmmhhhh
 
Huyo Anna kama namfahamu vile. Yaani ni mama huruma sana

In short alikuwa D then I then D then M aliko sasa.


Pole yake.
Atavuna alichopanda.
 
Huyo Anna kama namfahamu vile. Yaani ni mama huruma sana

In short alikuwa D then I then D then M aliko sasa.


Pole yake.
Atavuna alichopanda.
Mkuu basi tumalizie hapa, yanatosha kwa leo, shukrani mkuu wangu.
 
Maisha ya matawi anayoishi Anna kwa sasa ni ngumu sana kurudi kuishi kwa kulenga manati uswahilini. Hii itamfanya atumikie ngono mpaka mwisho wake ,, aachie nyumba ya ukweli, usafir was bure, mil 1 ya bure na shopping za Mara kwa Mara chaaaa!! Humwambii kitu
 
Back
Top Bottom