Nitakuchukia for the rest of my life

Nitakuchukia for the rest of my life

Tafuta kwanza ajira acha ujinga, sasa ungeenda kulisha nini mtoto wa watu? Pata pesa uone kama hajaanza kukutafuta tena!
hahahaaaa mkuu nipo vizr kwa sasa hayo mambo ya ajira nishayasahau
 
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
Sasa si umesema unaomba Mungu akupe moyo wa kusamehe ina kuwa je mwishoni una sema kamwe huto msamehe. Samehe kaka maisha yako yatakuwa na furaha kuliko kukaa na kinyongo. Mungu atakujalia utapata kilicho bora zaidi ya huyo aliye olewa
 
Na mama yako nae umemjumuisha, au yeye sio kati ya hao viumbe!!!

Ila hizi chuki za kukosewa na mmoja then ukachukia dunia nzima ni hatari kwa afya yako.
neno "mama yako"halikuonekana wala sikulitaja katika statement yangu but the statement is very clear tat, "trust not any one carrying a pussy" maana yake hata ww ikiwa umebebelea hiyo kitu na tukawa na ahadi yoyote kimapenzi, sitakiwi kabisa kukuamin hata kwa sekunde-nikipata tu mgao wangu nakudelete kwanza moyon ili nisiwe na stress.
 
Story yako kama yangu kidogo japo mimi nimesamee,, niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nilijua lazima aje kuwa mke wangu,,, nilijitoa kwake kwa kila kitu ili tu afurahi,,, sikupenda kabisa kumuona akiwa na huzuni lakini yeye alinichukulia tofauti kabisa,,, nilishawahi kwenda kigamboni kwa mguu nikitokea magomeni mapipa(nilivuka wilaya tatu kwa mguu) kwenda kumtumia mzigo wa chakula maana yeye alikuwa akisoma chuo mkoani coz nilikuwa sina nauli hata ya Costa,,,, ghafla akabadilika akaanza jeuri nikawa nikipiga simu hapokei mara anasema yupo bize yaani vurugu mwanzo mwisho,,, nilijitahidi sana kumweka sawa lakini ilishindikana mpaka akawa anajisifu kuwa yeye ni maskini jeuri daaah aisee niliumia sana lakini baadae nikaja gundua kumbe kapata mshikaji na akawaambia rafiki zake mimi na force love kwake,,, mara akaanza kumpost jamaa ake mpya kwenye mitandao ya kijamii kila siku anampost whatsupp na status za kimahaba eti" my husband love yuuu mingi mingi kwako" nilifuta namba na nikajilazimisha kumsahau japo haikuwa rahisi ila nilijikaza kiume,,,,, ikajatokea bahati mbaya nilipata suprimentary kwenye somo flani chuoni na rafiki zake wakamwambia huwezi amini alishangilia sana kwa furaha lakini mimi nilijikaza kiume tu,,, nikamsamee na kuendeleza maisha yangu,,, na mimi nikabahatika kupata mshamba mwenzangu nikampenda na yeye akanipenda,,, sasa yule nyau akaanza visa mara anitumie message za ajabu ajabu eti anadai mi bado ni wake na yule mpenzi wangu atamroga,, hakuishia hapo akaanza kuwaambia rafiki zake mimi namnyanya sana kwasababu ananipenda,, ikabidi nimpe full story beby wangu ili asijetuvuruga,,, wanawake wanapendaa kutuona tukiwa kwenye matatizo tu jiongee
..Hii yakwako nzito mkuu,..
 
We chamtoto poteza kabisa mimi nimepigwa ndani kwasabbu yake miezi 6, sitakupa chazo lakn yale yalipita nilitoka nafanya mitihan ya (....) badae,katoroka na njemba wakaenda arusha_arusha to zambia badae kanitafuta kwamba yeye flan kupitia gmail yangu kuwa tuongee skype tulivyohonana wote tukatoa machozi yoyote mimi nimesamehee nistory ndefu mno poteza kijana
..Kumbe Mimi ninaafadhali duuu...
 
neno "mama yako"halikuonekana wala sikulitaja katika statement yangu but the statement is very clear tat, "trust not any one carrying a pussy" maana yake hata ww ikiwa umebebelea hiyo kitu na tukawa na ahadi yoyote kimapenzi, sitakiwi kabisa kukuamin hata kwa sekunde-nikipata tu mgao wangu nakudelete kwanza moyon ili nisiwe na stress.
Hukulitaja kwakuwa yeye hana hicho ulichokitaja right??
Basi sawa.
 
Nitaanza kuwaamini hawa viumbe endapo wataacha kuvaa mawigi tena. Only in Africa where women put on wigs to fake their appearence. If they have dared to fake their appearence, what about other things?
Ishi nao kwa makini sana hata Biblia Takafu inawajua. Trust them not at all.
 
neno "mama yako"halikuonekana wala sikulitaja katika statement yangu but the statement is very clear that, "trust not any one carrying a pussy" maana yake hata ww ikiwa umebebelea hiyo kitu na tukawa na ahadi yoyote kimapenzi, sitakiwi kabisa kukuamin hata kwa sekunde-nikipata tu mgao wangu nakudelete kwanza moyon ili nisiwe na stress.
 
Nitaanza kuwaamini hawa viumbe endapo wataacha kuvaa mawigi tena. Only in Africa where women put on wigs to fake their appearence. If they have dared to fake their appearence, what about other things?
Ishi nao kwa makini sana hata Biblia Takafu inawajua. Trust them not at all.
Aiseeee!!!
 
Mkuu pole sana ila piga moyo konde ufungue ukurasa mwingine naufanye kama hakuna kilichotokea kwani huwezi jua nimambo mangapi umeepushwa nayo kupitia mtengano huo
 
Dah....sasa wewe huna uwezo wa kumtunza...achia wenye uwezo bana....nani anapenda shida? Komaa uzitafute mida si mingi utapata SMS yake [emoji13] [emoji13]
 
Ninakuelewa, mimi ktk maisha ya ujana wangu, nilifanywa hivyo na mvulana/mwanaume mmoja. Nimeishasonga mbele na maisha yangu, lakini sitakuja kusahau aliyonitenda: forgive is forget, forget is forgive; hapo kwa huyo bwana uwa sina uchaguzi!!! Utampata wa kukuponya kidonda; there are many good people/women out there[emoji1540][emoji1540]
 
4711ca449c1f78a60a81cabe11dfc12c.jpg
Hayupo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom