mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Jambo zuri n kwamba
Hakuna linalodumu milele
Unapaswa kusamehe ili kuupa moyo amani
Samehe japo kusahau n ngumu Ila utaweza ikiwa tu kama umedhamiria kusonga mbele
Wewe n mwanaume bana jikaze kulalama hivi hakubadilishi uhalisia
Huwezi kusonga mbele kama uarudiarudia yaliyopita
Kubali moyoni ndio maji yameshamwagika
What is meant to be yours will always find a way