Story yako kama yangu kidogo japo mimi nimesamee,, niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nilijua lazima aje kuwa mke wangu,,, nilijitoa kwake kwa kila kitu ili tu afurahi,,, sikupenda kabisa kumuona akiwa na huzuni lakini yeye alinichukulia tofauti kabisa,,, nilishawahi kwenda kigamboni kwa mguu nikitokea magomeni mapipa(nilivuka wilaya tatu kwa mguu) kwenda kumtumia mzigo wa chakula maana yeye alikuwa akisoma chuo mkoani coz nilikuwa sina nauli hata ya Costa,,,, ghafla akabadilika akaanza jeuri nikawa nikipiga simu hapokei mara anasema yupo bize yaani vurugu mwanzo mwisho,,, nilijitahidi sana kumweka sawa lakini ilishindikana mpaka akawa anajisifu kuwa yeye ni maskini jeuri daaah aisee niliumia sana lakini baadae nikaja gundua kumbe kapata mshikaji na akawaambia rafiki zake mimi na force love kwake,,, mara akaanza kumpost jamaa ake mpya kwenye mitandao ya kijamii kila siku anampost whatsupp na status za kimahaba eti" my husband love yuuu mingi mingi kwako" nilifuta namba na nikajilazimisha kumsahau japo haikuwa rahisi ila nilijikaza kiume,,,,, ikajatokea bahati mbaya nilipata suprimentary kwenye somo flani chuoni na rafiki zake wakamwambia huwezi amini alishangilia sana kwa furaha lakini mimi nilijikaza kiume tu,,, nikamsamee na kuendeleza maisha yangu,,, na mimi nikabahatika kupata mshamba mwenzangu nikampenda na yeye akanipenda,,, sasa yule nyau akaanza visa mara anitumie message za ajabu ajabu eti anadai mi bado ni wake na yule mpenzi wangu atamroga,, hakuishia hapo akaanza kuwaambia rafiki zake mimi namnyanya sana kwasababu ananipenda,, ikabidi nimpe full story beby wangu ili asijetuvuruga,,, wanawake wanapendaa kutuona tukiwa kwenye matatizo tu jiongee