Nitakuchukia for the rest of my life

Nitakuchukia for the rest of my life

Yaani umejiadhibu kiasi kisichomithilika aisee. Samehe, sahau, penda tena. Kunaaisha baada ya kutendwa.

Mungu umtumainiaye akusaidie kwa hili
 
Tambua cku zote mwanaume ni king'ang'anizi hakubali kushindwa. Hata awe na madem wengi kiasi gani akiona mmoja wao kaolewa roho itamuuma utadhani alikua na mpango wa kumuoa. Hicho kinachokusumbua ni tamaa za wanaume huna budi kukubali kwamba umeshindwa maisha yaendelee
Haujielewi wewe kichwa panzi sijui umekurupuka toka wapi? umekula maharage ya wapi?
 
let the nature lead you....
until you raliarize itx true and right...
dont force some into loving you.....
be patience and let love grow to them.....
the impact of forcing love is imeasurable.....
let the past be the past forget the former thing.....
 
..Hii yakwako nzito mkuu,..
We acha mkuu watu tumepitia mazito but tunajikaza kiume tu,, alaf pia hawa madem wanapenda kukutana na mwanaume anaejiamini,,, ukijiliza tu baaaasi anakushusha marks,, yule nyau mi nimesha mpa dawa yake saivi nipo na katoto karembo na kananipenda kinoma,,
 
Aisee haya mapenzi haya balaa. We tafuta tu ajira uache maisha yaende. Jifunze kumuacha aende. Si ajabu yeye hata hakukumbuki, wewe uko busy kusema hautasamehe. Mkuu, usiposamehe still moyo wako utakuwa na mzigo sana na hiyo itakufanya usipende tena. Mshukuru Mungu kwa yote na uanze upya, chukulia hilo kama zilivyo changamoto nyingine za maisha. Probably she was your first love ndio maana unaumia hivyo.
 
Kosa la kuto samehe pengine likawa kubwa kuliko alivyokukosea. Please, samehe ili upate Amani.
 
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea

mkuu nakuelewa sana yani

cc

atoto
 
Never trust a woman
Akikuambia nakupenda ujue ameona fursa sio upendo wa kweli
 
Rudi shule asee, eti mwanaume hana hisia!! aliyekufundisha akarudie upya
Kumbe ndio maana unafeli? nani kakwambia hisia zinafundishwa? shule yake inapatikani wapi ili na mimi niende?
Ulipokuwa unauliza kiwango changu cha elimu nilijua nimepata mwalimu kumbe na ww upo kama mimi tu.
 
Kumbe ndio maana unafeli? nani kakwambia hisia zinafundishwa? shule yake inapatikani wapi ili na mimi niende?
Ulipokuwa unauliza kiwango changu cha elimu nilijua nimepata mwalimu kumbe na ww upo kama mimi tu.
we kichwa panzi usinipotezee muda bure
 
Sijui ila namwomba sana MUNGU anisaidie nisamehe na kusahau, maana sikuwahi kuamini kama tutaachana

Mkuu;
Kweli inaonesha ulikwisha kabisa kwake. Dah! Tuseme kwa mda woote wa maisha yako hukuwahi ona mwingine kabla ya huyu?? Pole. Ila, Achia sasa, huyo ni mke wa mtu sasa. Hata angerudi kwako leo, tiyari kwishakuwa "Ganda la muwa la jana". Wenzio weshanyonya humo ile sukari yoote.
Tulia, futa kabisa akilini, oa mwingine yule wa kweli. Wapo tu mkuu ni macho umefunga tu. Fungua macho utamwona. Na kama weye bado jobless, utakaye mpata kwa sasa huyo ndiye wako wa kupeana ahadi zisizo vunjika.
Ati, sikuwahi amini kuwa tutaachana. Una mkataba na kifo?? Si nafuu hakufa utamwona hata njiani akuombe lifti?? Tafuta hela kaka usilalamikie vijike sketi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom