thankx umeandika kitu kinacho sound vizuri, nimeshare hili jambo hapa nimepata kuona kuwa sio mm pekee ambaye nimeface tatizo kama hilo! Nawashukuru kwa ushauri maana unapunguza mzigo nilikuwa nabeba, kwa sasa kazi si tatizo tena kwangu..Mkuu;
Kweli inaonesha ulikwisha kabisa kwake. Dah! Tuseme kwa mda woote wa maisha yako hukuwahi ona mwingine kabla ya huyu?? Pole. Ila,
Aisee pole xana bro but jitahidi kusamehe ili moyo wako upate kupona vidonda kwan katika maisha tunapitia changamoto nyingi sana na kutoswa ktk mapenz kusikfanye uone kama maisha hayana thaman tena Bali bado thaman yake ni kubwa tu kwan mlango mmoja wa baraka ukifungwa IPO mingi zaidi imefunguliwa kwan usimfanye MTU kipaumbele chako wakati yeye anakuona ni optionalNiliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.
Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.
Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...
Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
wise girlNdio taabu ya kuingia yamini na vitu usivyovijua, hapo hatakiwi kumlaumu mtu au kumchukia, ajilaumu mwenyewe kwa kutokuwa na maarifa.
Na kutomuachilia ndio anaendelea kujiumiza, wakati mwenzie walaaa anakula mema ya nchi.
Kusubiria kwenye hamna napo yataka moyo wa chuma.
When you decide to follow yo heart take yo brain with you.
Haujambo lakini?wise girl
am cool..Vipi weyee?Haujambo lakini?
Acha ukilaza wewe unawaza sema unampenda k ambaye hukuwahi mchambaNiliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.
Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.
Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...
Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
Niko poa.am cool..Vipi weyee?
Acha kuishi kama mtu mwenye mapungufu, alipokuacha hakuondoka na kiungo chako chochote, bado wewe ni yule yule uliemvutia mwanzoni na unao uwezo wa kumvutia mwingine pia. Kitendo cha kuacha kuamini kuwa utampata mwingine atakaekupenda kwa dhati na wewe kumpenda pia, ni dalili kuwa huna ujasiri wa kiume wa kutatua maswala yako binafsi maana unaendeshwa na hisia zaidi kuliko uhalisia wa mambo ulivyo. Huyo alikuona humfai na akaamua kusonga mbele, wewe unakwama hapo ili iweje? Uonewe huruma?Mimi sio mwanaume wa DSM bro, usije nisingizia bure, ni kweli madem ni wengi lakn hisia ndio shida