Nitakuchukia for the rest of my life

Nitakuchukia for the rest of my life

We chamtoto poteza kabisa mimi nimepigwa ndani kwasabbu yake miezi 6, sitakupa chazo lakn yale yalipita nilitoka nafanya mitihan ya (....) badae,katoroka na njemba wakaenda arusha_arusha to zambia badae kanitafuta kwamba yeye flan kupitia gmail yangu kuwa tuongee skype tulivyohonana wote tukatoa machozi yoyote mimi nimesamehee nistory ndefu mno poteza kijana
 
Haya maneno nilitegemea ayaseme mwanamke na siyo mwanaume... Rudi kwa Mungu wako utasamehe.

Utajisikiaje ukijua kwamba Mungu alikuepusha na mabalaa ya kumuoa huyo mwanamke. Pengine ungeoa baada ya miaka miwili mkazaa mtoto akafariki or vyovyote vile.

Hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya. Kutokusamehe ni roho ya Ibirisi, jichunguze!
 
Pole mkuuu hakuna lislo na nwisho mi mwaka wa 8 toka "B" aniache! nashukur kuwa u ujasir umenisaida1!!!
 
Aiseee pole sana ndugu kuna watu wameumbwa na roho ngumu sana
 
Mimi sio mwanaume wa DSM bro, usije nisingizia bure, ni kweli madem ni wengi lakn hisia ndio shida
Huna hisia sababu una chuki moyoni unaamini wote wanawake wapo kama huyo ex wako fungua moyo jifunze kusahau na jitahid usimuwaze fungua kurasa mpya mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeomba Mungu akupe moyo wa kusamehe na mwishoni unamaliza kwa kusema kamwe hutomsamehe ni Mungu gani unaomba? wa dar au Mungu muumba mbingu na nchi?
 
Hawa viumbe mbwa kabisa I stopped trusting them since that bitch I had and trusted betrayed me and eloped with a hooligan who was pursuing a degree in India. siwaamin kabisa.
Trust not any one carrying a pussy.
 
Saka hela kinyama ipo siku hata kukumbuka kama alikuacha kwa kigezo cha pesa but kumbuka samehe 7 x 70
 
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea

Pole sana raia_mwema. Kwa kadiri unavyoendelea kumchukia huyo bidada.... Ndivyo unavyozidi kumbeba katika moyo wako... Unazidi kuelemewa, unakuwa mzito, full mawazo ambayo hayakusaidii pia in any way. Kwa namna hiyo... Usitegemee matokeo tofauti na unachokipitia. Let her go. Let her go. Let her go. Kutokusamehe pia kunakuzuilia mambo mengi sana sana katika maisha yako. Haijalishi uliweka nadhiri ngapi katika mahusiano yenu... Hakuwa MTU sahihi kwako. Mshirikishe Mungu pia.... atakupatia MTU sahihi sawa na mapenzi yake. Achilia nafsi yako uwe huru.... Ingia chumba chako cha ndani na tangaza msamaha kuhusiana na hiyo mrembo na yote yaliyopita.

All the very best.

Msweet
 
Hawa viumbe mbwa kabisa I stopped trusting them since that bitch I had and trusted betrayed me and eloped with a hooligan who was pursuing a degree in India. siwaamin kabisa.
Trust not any one carrying a pussy.
Na mama yako nae umemjumuisha, au yeye sio kati ya hao viumbe!!!

Ila hizi chuki za kukosewa na mmoja then ukachukia dunia nzima ni hatari kwa afya yako.
 
Hisia zinauzwa wapi Mkuu? Kubali yaishe usamehe badala ya kuendeleza chuki za kutisha dhidi ya huyo aliyekupiga chini. Hisia haziwezi kuja wakati bado umejawa na chuki za kutisha. It is time to forgive her in order to move on with your life.

Mimi sio mwanaume wa DSM bro, usije nisingizia bure, ni kweli madem ni wengi lakn hisia ndio shida
 
Weka picha yake hata sisi tukikutana nae tusimsalimie na tumtenge
 
Naomba basi unisamehe, niliona mipango yetu haitekelezeki jamani, ila bado nakupenda hitaji langu lilikuwa ni kuolewa na kuishi maisha ya ndoa yanayompendeza Mungu.

Nakuombea na wewe umpate wa ubavu wako
..Nimekusamee ila njoo inbox tuyajenge,..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom