Nitakuchukia for the rest of my life

Nitakuchukia for the rest of my life

Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
Hapo mkuu unajikomoa mwenyewe,fungua moyo mambo yaende!mwenzako life lake linasonga,take it positive inawezekana hilo jambo limefanyika purposely Mungu kakuepusha na kitu
 
Ukiwa kwenye mahusiano expect the best but also you should prepare for the worst ili usiumie sna lzma uwe na hio notion uvumilivu wa kuvumilia hali ya changamoto ya kutokuwa na maisha mazur pesa gar nyumba nk kwa m2 anayependa kuwa na maisha mazur atashindwa atakimbia cz weng wao wnavutiwa na upendo wa v2 na sio w2 pole sna kaka kunywa maji lkn maisha ynaendelea kuna wimbo mmoja unaitwa let her go wa passenger huwa unankumbusha umuhim wa kukiacha k2 kiende ili uwe free cz kukshirikia ktkupa maumivu sna
 
Mkuu ninywe maji tena!?
Ukiwa kwenye mahusiano expect the best but also you should prepare for the worst ili usiumie sna lzma uwe na hio notion uvumilivu wa kuvumilia hali ya changamoto ya kutokuwa na maisha mazur pesa gar nyumba nk kwa m2 anayependa kuwa na maisha mazur atashindwa atakimbia cz weng wao wnavutiwa na upendo wa v2 na sio w2 pole sna kaka kunywa maji lkn maisha ynaendelea kuna wimbo mmoja unaitwa let her go wa passenger huwa unankumbusha umuhim wa kukiacha k2 kiende ili uwe free cz kukshirikia ktkupa maumivu sna
 
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
Pole sana ila lazima maisha yaendelee
 
Na mm ntakuchukia mpka kufa Kwangu.!! Hahahahahahaa pole kwa yaliyokukuta
 
Mm iliwah kunitokea, nimeoa sasa mwingine. Usikubari jambo likuyumbishe.
 
Pole kwa kuumizwa,ila kuna sehemu unakosea,inaonekana unampenda huyo mwanamke kuliko unavyojipenda.Huo ni udhaifu,,,Siku zote namna nzuri ya kubaki salama ktk mapenzi ni kujipenda zaidi kuliko mtu mwingne yeyote. Otherwise,cku zote utakuwa vulnerable kwa cheaters na wapitanjia.

USHAURI: Msahau na msamehe huyo mwanamke,,,Usiumie sana kisa ulikuwa mwaminifu kwake.Jifunze kuwa mwaminifu kwa Mungu na kila linalojitokeza ktk safari yako ya maisha mushukuru.
 
nobody knows but me
Daaah asee nimepata kitu toka kwako
Welcome again mkuu.......haya mambo ukiyaendekeza utajikuta huwezi kufanya mambo mengine.....najua ipo siku utakuja kujicheka mwenyewe kwamba unachokiwaza/ kukuumiza sasahivi hakina hata maana trust me. Ni wewe tu kuamua sitaki kuumia tena....mchezo unakwisha...na hata ukimwona hutafeel chochote
 
Sijui ila namwomba sana MUNGU anisaidie nisamehe na kusahau, maana sikuwahi kuamini kama tutaachana

Mungu hawezi kukusaidia kama haujadhamiria kusamehe,utaendelea kunyong'onyea kila siku,na hautasonga mbele.
Samehe,sahau,mtazame Mungu na usonge mbele.
 
Niliingia katika mahusiano na wewe mwanamke kipindi kile na graduate, nikakupenda kwa moyo wangu wote, pamoja na kuishi katika mikoa tofauti nikawa mwaminifu kwako sikuwahi kuchepuka hata kidogo, nilijitahidi kwa moyo wangu wote kwa kadiri kulingana na uwezo wangu kudumisha pendo langu, wakati mwingine niliwadanganya wazazi naenda kwenye interview (MUNGU anisamehe) wanaponipatia nauli na fedha ya kujikimu basi nakuja kukutembelea.

Hii ilibaki kuwa siri yangu baada ya miaka mitatu changamoto ya ajira ikaendelea, pasipo kujali upendo wangu kwako ukanipiga chini baada ya kupata wa kukuoa, miezi nane mbeleni ukafunga ndoa. Haukujali ahadi nyingi na nadhiri tulizoziweka mbele za MUNGU na pia mbele za wazazi.

Niliumia saaana siwezi kusahau, Dunia nzima ilinielemea, maisha yakawa machungu kama chloroquine... Lakn siku zikasogea. Ni mwaka wa nne huu Moyo umekufa ganzi, sijawahi kabisa kuwa na hisia za mapenzi teena, Huwa namwomba MUNGU anipe moyo wa kusamehe na kusahau ili moyo uwe na amani niweze kusonga mbele nashindwa kabisaa kusamehe na kusahau...

Nakuchukua sana na kamwe sitakusamehe we mwanamke kwa ulilonitendea
Mwisho wa siku chuki hukuathiri wewe unaechukia na siye anayechukiwa.
Ujanja ni kusonga mbele bila kubeba mizigo ya chuki kwani kwa kufanya hivyo utaumia mwenyewe.
Forgive and forget about the whole saga.
 
Uliingia mahali pasipo rafki tena shkru Mungu amekuepusha angali mapema maana ulikua umeingia choo cha k. Huyo mtu alikuwepo tangia muda mrefu huyo dem alikua amekuweka tu kiporo km jamaa atazingua. Ungeoa huyo ambaye haukua chaguo lake angekutesa sana. Wee tuliza moyo fanya yako, ukikalia kujisemea hujui kusamehe atakufa angali bado kijana.
 
Tambua cku zote mwanaume ni king'ang'anizi hakubali kushindwa. Hata awe na madem wengi kiasi gani akiona mmoja wao kaolewa roho itamuuma utadhani alikua na mpango wa kumuoa. Hicho kinachokusumbua ni tamaa za wanaume huna budi kukubali kwamba umeshindwa maisha yaendelee
 
Mimi sio mwanaume wa DSM bro, usije nisingizia bure, ni kweli madem ni wengi lakn hisia ndio shida
usipomsamehe huyo na kumpotezea hutopata hisia kamwe na wakati mwenzio maisha yanasonga we unabaki kuogelea katika maumivu yako badala ujiachie upate mwingine
 
Binafsi naona unastahili kikombe hiki ulivyokuwa unawaingiza kingi wazee wako wanakupa pesa ya nauli kwenda penye interview kumbe unaenda kufanya usaili kwa bibie sasa stahmili tu achana na mawazo hayo kuhusu huyo bint angekuwa mama yako sawa lakini hawa wapo wengi tu ukiruhusu kuchanganyikiwa uta changanyikiwa kweli.
 
Sijui ila namwomba sana MUNGU anisaidie nisamehe na kusahau, maana sikuwahi kuamini kama tutaachana
Dogo hujakua
utakapofika miaka 30 hadi 40 utajarudi Jamii forum kushangaa na kumshukuru MUNGU
kwani huyu Bint atakuwa kachakaa na wewe ndio unachipua na familia mpya
mapenzi ya Chuo ni ya uongo wengi wakioana kutoka Vyuo huchokana
rudi kwenu utapewa mwanamke mwoga wa heshima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom