Mkuu
Kirumi,
Biashara ni zaidi ya buying and selling; or producing and selling....ni muhimu sana kuangalia nini unapendelea; nini hobby yako! Je, unapenda kufuga? Kama unapenda kufuga na una eneo la kufugia then ningekushauri fuga kuku wa mayai! Kuku wa mayai au wa nyama biashara pasua kichwa; so, usianze na kuku wengi ingawaje 20m inakuwezesha kuanza na kuku wengi!
You may start with vifaranga 200 ili upate experience! Usisubiri hadi watage ndipo uongeze, no, that's is wastage time....an important factor in economy!
Kwa kawaida kuku wanaanza kutaga baada ya miezi 5 hadi 6! tulia na hao vifaranga 200 na ikishafika miezi 2-3 calculate mortality rate! Kama mortality rate is somewhere below 10%, then you're good, you can make it! Lakini usiangalie udogo wa mortality rate peke yake! Angalia, afya ya kuku wako baada ya hiyo miezi 2-3! Kama wana afya, then you're about to be an expert so, you can increase the size of your flock!
NOTE: Usizani 20m ni nyingi sana kwenye ufugaji wa kuku, hususani wa mayai! Usisahau, unapofuga kuku wa mayai, unakuwa na hesabu ya kutoa tu for almost 5-6 months! So, ili uweze kuwa successful in this business, inabidi uweke kiasi cha kutosha benki na usikiguse! The money should only be used for FEED Cost! Sababu kubwa inayowafanya watu wafeli kwenye hii biashara ni kubana chakula kwa kuku.....they don't have fund aside for feed! Kuku wa mayai hapaswi kubaniwa chakula...hakika, ukifanya kama inavyotakiwa, this business ni much better for your amount!