Nitafanya biashara gani na 20m

Nitafanya biashara gani na 20m

Kirumi

Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Heshima kwenu GTs,

nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali.

ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza chuo in 2008, sasa

nimeona ni wakati muafaka wa kufanya mambo yangu mwenyewe kwa huu mtaji ambao nimeulimbikiza kwa muda

niliofanya kazi.

nakaribisha mchango wenu wa mawazo.

the boss upo, nakukubali sana kaka kwenye hizi anga, please assist.

Kirumi, kimara.
 
Biashara nzuri change hzo pesa kuwa dolla au euro then weka ndani mwaka au miezi sita zitakuwa zimeongezeka zaid sana hata mara 50 zaid,
 
kweli umeacha kazi, hata biashara hujaanza, wala hujui unataka kufanya nini? huo muda unaofikira unaishije? au unatumia mtaji?
 
Mpeni wazo jamani, mwezenu anahitaji mchango wenu na ndo maana kapost huu uzi hapa sasa mnapoanza kumuliza nakula nini, nafikiri hilo sio jibu la swali lake.
 
Mara nyinigi Biashara huwa inategemea na interest yako kwanza ama profession yako. Na kama ungesema labda biashara kadhaa unazopenda kufanya ili tukushauri katika hizo kulinga na uzoefu. Umeishawahi kufikiria juu ya biashara hizi.

1. Biashara ya Kuku, Kuku wa nyama ana mayai?

2. Biashara ya Kukodi Mashamba na kulima mazao ya msimu.

3. Biashara ya kununua miti na kuchana Mbao.

hizo ndio baadhi ya biashara nini uzoefu nazo.

Ni rahisi mtu kukushauri kama anajua interest zako!
 
Heshima kwenu GTs,

nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali.

ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza chuo in 2008, sasa

nimeona ni wakati muafaka wa kufanya mambo yangu mwenyewe kwa huu mtaji ambao nimeulimbikiza kwa muda

niliofanya kazi.

nakaribisha mchango wenu wa mawazo.

the boss upo, nakukubali sana kaka kwenye hizi anga, please assist.

Kirumi, kimara.

Biashara nzuri ni ile unayoijua
mfano iwe inahusiana na ajira yako ya miaka mitano hiyo
au iwe ni kitu unakipenda kufanya hata bure
ndo itakufaaa
otherwise nione pm
 
wekeza kwenye kilimo, halafu kata bima ya kujikinga na hasara. huduma hiyo wanatoa CRDB.Kilimo kinalipa ila watanzania hatuko focused
 
Fanya ufugaji kama sio muislamu unaweza pia kufuga nguruwe utatokaa saana

Regards,
Jonathan.
 
Mara nyinigi Biashara huwa inategemea na interest yako kwanza ama profession yako. Na kama ungesema labda biashara kadhaa unazopenda kufanya ili tukushauri katika hizo kulinga na uzoefu. Umeishawahi kufikiria juu ya biashara hizi.

1. Biashara ya Kuku, Kuku wa nyama ana mayai?

2. Biashara ya Kukodi Mashamba na kulima mazao ya msimu.

3. Biashara ya kununua miti na kuchana Mbao.

hizo ndio baadhi ya biashara nini uzoefu nazo.

Ni rahisi mtu kukushauri kama anajua interest zako!

Pia kwa sasa kuna biashara ya kununua mahindi, alizeti toka dodoma na kuuza mikoani kama dar
 
wekeza kwenye kilimo, halafu kata bima ya kujikinga na hasara. huduma hiyo wanatoa CRDB.Kilimo kinalipa ila watanzania hatuko focused

Mkuu nani Tz hii alishawahi kulima akafanikiwa? Ama kutoka kimaisha?
 
Agiza pick up japan (gari) tafuta parking kariakoo., mwenge au ubungo.(japo sina hakika km uko dar).kila siku una uhakika wa laki..hapo umeishatoa kila kitu..
 
Shughulika na kilimo na ufugaji hamia shamba kabisa ,ukitulia huko utafanya miujiza kwa maelezo zaidi pm
 
Back
Top Bottom