CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
Mzee naona leo umekuwa muungwana kwa nchi yako,Kama watu wameweza kununua Porte na Passo ama Funcargo unategemea hicho kigari kitakosa wateja?
Mzee naona leo umekuwa muungwana kwa nchi yako,Kama watu wameweza kununua Porte na Passo ama Funcargo unategemea hicho kigari kitakosa wateja?
Aisee 😆😆😆Uwezo wetu ni humu walau wakiweka na kodi yao ya kinyonyaji kifike hata 12M wengi watakinunua hiki!View attachment 2029631
Mi always huwa ni muungwana ila sio kwenye mambo ya kipuuzi😎!!!Mzee naona leo umekuwa muungwana kwa nchi yako,
Moja ya sherti watasema serikali isitumie magari aina nyingine zaidi ya NissanKufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tunamaanisha haya.
===
Nissan Tanzania to establish assembly plant in the country
Nissan Tanzania to establish assembly plant in the country.
GLOBAL Motor Manufacturer Nissan Tanzania Limited has said it intends to facilitate establishment of a plant in the country after observing potential signs of a growing automobile market.
The company’s chairman Tim Jaques made the remarks on the side-lines of an event to launch a Nissan Navara vehicle which has just entered the Tanzanian market.
According to Jaques, discussions were in progress with authorities on the plan saying this is part of an initiative by the company to participate in economic development of Tanzania.
“We are open for discussion but also very willing to participate in national economy building because we have been in Tanzania for some time now and we have seen there is a huge signs of a growing car automobile sector,” he said.
He said the availability of a conducive environment for investment in the country creates a room for production of quality products among investors and manufacturers.
Speaking on the newly launched product the official said the new Nissan Navara pickup delivers an enhanced level of safety, comfort and driving pleasure, while continuing to bring durability, reliability and versatility for travel lovers.
For his part the marketing manager for the company Alfred Minja said the state of business in the country in the past year was taken back because of Covid-19.
According to him, the sixth phase government has shown signs of better times ahead for investment saying this was good for the economy of the country.
Sio Tanzania ndio wanaleta kiwanda mkuu,Mi always huwa ni muungwana ila sio kwenye mambo ya kipuuzi😎!!!
Nimetoa wazo tu wangeachana na hao Nissan kama lengo ni magari walete assembling plant ya electric cars toka china. Kiwanda kitakuwa rahisi ku sustain sababu gari zitakuwa affordable kwa watu wa hali ya chini!
Nissan hawawezi toboa sababu wanunuaji wa gari zao ni wachache na gari ikiuzwa more than $33,000 still itakuwa ghali tu! Sababu ukiweka na kodi za kinyonyaji hilo gari huenda likawa almost 90M
HaiwezekaniMoja ya sherti watasema serikali isitumie magari aina nyingine zaidi ya Nissan
Tusubiri kumbuka ya Toyota, Lowassa na MalechelaHaiwezekani
Ni assembling plant na sio manufacturing plant so still bei itakuwa juu tuHatua njema...tuache kununua gari used kwa milioni 30-50.
Basi niwatakie kil la heriSio Tanzania ndio wanaleta kiwanda mkuu,
Kiwanda nicha Nissan wenye,
Wanakuja kuwekeza wao,
Soko watakuwa wamelirafiti wao,
Serikali has nothing to do with it
Fuel cars zitakuwa phased out soon hence kampuni zote zitakuwa zinatengeneza EV za battery.Nissan ni way too high league! Wangeingia uchina hapo kwenye viwanda vya electric cars wakawapa fursa ya kuja kuwekeza walau kwa mchina angeweza fyatua gari zenye ubora wa kuendana na uchumi wetu! Hapo china kuna electric cars za mpaka dollar 5000 tu!
Hizo wengi tungeweza afford maana ndio gari nyingi zilizopo barabarani leo zina range kwenye bei hio! Walau ingesaidia kupunguza Air Pollution! The future is electric.
Ilikuwaje hii mkuu?Tusubiri kumbuka ya Toyota, Lowassa na Malechela
Samia sio JK MKUUEnzi za jk nilisikiaga Honda wangetengeneza kiwanda hapa bongo cha pikipiki kipindi hicho nikiwa form 2 lkn nakumbuka sarakasi hizo na hizi za Nissan nazo zitapita.
Kama kweli sisi makada tunasema hapa Kazi tu
Leo kiwanda hicho kipo?Enzi za jk nilisikiaga Honda wangetengeneza kiwanda hapa bongo cha pikipiki kipindi hicho nikiwa form 2 lkn nakumbuka sarakasi hizo na hizi za Nissan nazo zitapita.
Toyota nao walitengewa eneo le external serviceSamia sio JK MKUU