Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,002
- 525
Porojo hizo. Ugaidi umeisha? Je umeme upo?===
Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tunamaanisha haya,
View attachment 2029422
Sukari inayozalishwa Moro ni ghali kuliko inayoagizwa toka Brazil; hayo magari ndio tutaiweza bei yake?!Hatua njema...tuache kununua gari used kwa milioni 30-50.
Ni maigizo tupuPorojo hizo. Ugaidi umeisha? Je umeme upo?
SCANIA pia walishajenga kiwanda cha assembly Tanzania kikafa. Uchumi wetu hauwezi ku- support viwanda vipya vya magari. Tufikiria small agriculture machines and value addition agro machinery kuliko magari kama NISSANNissan Tanzania to establish assembly plant in the country - Nissan Tanzania to establish assembly plant in the country
PointSCANIA pia walishajenga kiwanda cha assembly Tanzania kikafa. Uchumi wetu hauwezi ku- support viwanda vipya vya magari. Tufikiria small agriculture machines and value addition agro machinery kuliko magari kama NISSAN
Bwana...Ku...du!Namuona samia akiwa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya Nissan bwana kumamoto Nissan huko nchini Japan.
CHADOMOMmewaambia nchi ina magaidi?