Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
998
520
Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,

Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tunamaanisha haya.

===

Nissan Tanzania to establish assembly plant in the country​

Nissan Tanzania to establish assembly plant in the country.

GLOBAL Motor Manufacturer Nissan Tanzania Limited has said it intends to facilitate establishment of a plant in the country after observing potential signs of a growing automobile market.

The company’s chairman Tim Jaques made the remarks on the side-lines of an event to launch a Nissan Navara vehicle which has just entered the Tanzanian market.

According to Jaques, discussions were in progress with authorities on the plan saying this is part of an initiative by the company to participate in economic development of Tanzania.

“We are open for discussion but also very willing to participate in national economy building because we have been in Tanzania for some time now and we have seen there is a huge signs of a growing car automobile sector,” he said.

He said the availability of a conducive environment for investment in the country creates a room for production of quality products among investors and manufacturers.

Speaking on the newly launched product the official said the new Nissan Navara pickup delivers an enhanced level of safety, comfort and driving pleasure, while continuing to bring durability, reliability and versatility for travel lovers.

For his part the marketing manager for the company Alfred Minja said the state of business in the country in the past year was taken back because of Covid-19.

According to him, the sixth phase government has shown signs of better times ahead for investment saying this was good for the economy of the country.
 
===
Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,

Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,

Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tunamaanisha haya,
View attachment 2029422
Porojo hizo. Ugaidi umeisha? Je umeme upo?
 
kampuni ni nissan ila hapo nawaona wazungu sio wajapan. itakuwa safi sana wakiasembo magari hapa, though wabongo inabidi tuwaunge mkono kwasababu magari mapya huwa ni garama sana na wanatakiwa wapate soko.

kama tumezoea kununua magari used, hizo zitakuwa brand new.labda serikali ianze kwa kuwaungisha magari mengi ya kutosha.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom