Nisimboe Mwenza wangu nifanye yepi?

msipo "boana" hakutakuwa na radha ya ndoa.
Ni kama kusema maisha bila matatizo/shida hayana radha yoyote ile so kuboana lazima ila sio so frequently
 
Nitakwambia mimi niyapendayo so utajaribu kucheck kama yako relevant kwa huyo wako,

1.Napenda kuhakikishiwa kwamba mimi ni namba 1,2 3 yani zote hizo mimi. namba 4 na kuendelea wengineee sijui ndugu zako au rafiki utajua mwenyewe
2.Napenda kuheshimiwa, tunapotoka unitambulishe kwa rafiki zako kwa heshima na compliments nyingiiiiiii, napenda public affection, napenda watu wajue kama unanipenda usiogope kunishika mokono mbele ya watu
3.Mambo ya chumbani napenda unipe what I want the way I want,
4 Communication, napenda SMS zisizopungua 10 kwa siku, uniambie kila unachofanya, uniambie unafuraha au tatizo, uniulize nafanya nini kila mara kuongea kwenye simu sipendi sana I find SMS very romantic.
5. Ukiniudhi mbe msamaha, tena ikibidi ulie kujutia kuniudhi LOL!! teh teh mi mwenyewe nacheka hapa hahahaaaa ila kiukweli napenda sana nikiona mwanaume analiaaaaaaa
6.Napenda muda wa peke yetu sipendi usumbufu eti uko na mimi rafiki kapiga simu uniambie unakuja mara moja :nono: sipendi

Ngoja nimalizie kuna kashughuli nafanya ntarudi kuendelea 7 mpaka 12.

Tumeingiliwa
 
mchek mama bg atakuelezea bing bang inakuwaje
finest lakin anajua zaid
nashukuru nishaenda kuchek japo nimechukua mda mrefu kuipata, Ala! kumbe na ile ni mbaya,
Mbona taratiiibu wengine huwa hawapendi? au ni kipindi fulani tu?
 
Nitakwambia mimi niyapendayo so utajaribu kucheck kama yako relevant kwa huyo wako,

1.Napenda kuhakikishiwa kwamba mimi ni namba 1,2 3 yani zote hizo mimi. namba 4 na kuendelea wengineee sijui ndugu zako au rafiki utajua mwenyewe
2.Napenda kuheshimiwa, tunapotoka unitambulishe kwa rafiki zako kwa heshima na compliments nyingiiiiiii, napenda public affection, napenda watu wajue kama unanipenda usiogope kunishika mokono mbele ya watu
3.Mambo ya chumbani napenda unipe what I want the way I want,
4 Communication, napenda SMS zisizopungua 10 kwa siku, uniambie kila unachofanya, uniambie unafuraha au tatizo, uniulize nafanya nini kila mara kuongea kwenye simu sipendi sana I find SMS very romantic.
5. Ukiniudhi mbe msamaha, tena ikibidi ulie kujutia kuniudhi LOL!! teh teh mi mwenyewe nacheka hapa hahahaaaa ila kiukweli napenda sana nikiona mwanaume analiaaaaaaa
6.Napenda muda wa peke yetu sipendi usumbufu eti uko na mimi rafiki kapiga simu uniambie unakuja mara moja :nono: sipendi

Ngoja nimalizie kuna kashughuli nafanya ntarudi kuendelea 7 mpaka 12.
Kimsingi hapa kaaazikwelikweli, Kukutambulisha siku hizi watu hata hawasiti, lakini kama wewe ni mke halali hata huna haja ya kutaka kutambulishwa labda uwe mchumba.
Suala la SMS kwa kweli nashukuru sana maana sikkujua kuwa hata akiwa mkeo bado anataka sms ya "I LOVE YOU"

na mambo ya chumbani sasa nimepata moja la No Bing Bang- Mh hapo 6x 6 pagumu sana, watu huwa wanatoka nje hivihivi!
LAkini inakuwaje zaidi watu mlikuwa mnapendana baadaye mambo yanakuwa tofauti kabisa??????? hapa bado jamani licha ya majibu haya mazuri
 
Tumeingiliwa
Haya mambo ya Asha Ngedere na Rose ni kidogo mazito sana, maana sometimes yanakuwa yanasahaulika kwelikweli,
Mengine tunayatimiza wakati wa uchumab then tunaacha.

Hofu ni pale watakapomega wale wa nje kwa wizi, OOOh vya wizi vitamu!!! usiombe ukaiba na kunogewa.
Hawa watu wana story na Asha anasema atarudi soon, namsubiri alete zaidi.

Tupeni jamani kuokoa ndoa zetu
 
msipo "boana" hakutakuwa na radha ya ndoa.
Ni kama kusema maisha bila matatizo/shida hayana radha yoyote ile so kuboana lazima ila sio so frequently
Lakini lazima utambue kuwa kama mtaboana halafu msipate utatuzi mzuri ndo mwanzo wa kuanza kuwaona wengine wazuri zaidi.

Mimi aliniboa girlfriend wangu wa kwanza na wa pili, wote niliwapiga vibuti, lakini baadaye nimejua kuwa may be ilibidi kusuluhisha tu.
Sasa katika ndoa kuboana kwataka moyo otherwise ni mwanzo wa kutoka nje wote au mmoja wenu

Ujue kuwa mnapokuwa wote wengine wanatamani kuingia wakati nyie mnaona taabu, na sometimes kunakuwa na watu wanaokukarimu diffrent na yule uliyeneye.
Kubona kuna faida lakini it might cost much
 
7. Nikikuudhi usinionyeshe mbele za watu, niite chumbani nigombee wee kadri unavyotaka ukiweza hata nipige lakini kimapenzi sio kama uko ulingoni na matumla hhahaaaa halafu nikilia nibembeleze sana halfu unipe chakula cha ndoa cha nguvu
8.Suprises.. Ukisafiri ukiwa unarudi usiniambie mwambie nishtukize, nisuprise na mabo mengine kama zawadi, usiniambie mambo unayotaka kunifurahisha wewe fanya kwa suprise.. napenda sana

Duh nitarudi tena mambo mengi ndugu zangu.......
 
Wapo wanaume tunafanya nao kazi tunaishi nao majirani tunaona yani hawako confortable kabisa na wake zao mpaka unajiuliza ilikuwaje wakaoana maana hata kanisani kila mtu na njia yake wakati wanaenda ibada moja kanisa moja, kutambulisha mpaka kwenye kilio au harusi ya familia ndio unasikia mashangazi au mamamke jamani huyu ndio mke wa fulani LOL!!
 
uko ndo kunakokufaa due to yr...
hpful one day utaacha
lunch vp lakin kaka?

nkuead lini???
luch tyr mda tu...
ila leo nlikua busy kewnye siasa naona watu wamenshambulia saaaana, ebu cheki kama vp kwenye mada isemayo anguko la chadema, najuuuuta kuiandika mana humu wooote ni chadema
 
kwan wewe si chadema?
mimi sina pbm na wewe nakupenda tena saaaaaana kakangu lakin unajua unaniboa nini? ni iv
1,UNATUKANA SANA
2.BUSARA ZA KUMJIBU MTU HUNA ..WEEW UNAMKATISHA MTU AU UNAMDHARAU MTU ALIYETOA MADA AU ALIECHANGIA MADA AMBAVYO HAVIENDAN KWA FIKRA ZAKO

MIMI haujawai kunitukana lakin naona mara nyng unatusi watu si vyema........pls ma dear brooo usifanye ivo ..ukiona mtu yupo kinyume na mawazo yako tak t easy na si kuanza kumbrust..
promiss me hautatukana tena watu.........
hpfull yes u wnt do t again...!!!
POLE KWA KUSHAMBULIWA UKO KWENYE SIASA
 
ndio mi chadema damdam bt nlitaka nione memba wenzangu ni wangapi bt kwa njia ya kuwapinga nimejua ni karbu jf woote...
smtym uwa najib jokes ili kumpa m2 challenge tu..
ku2kana uwa naweka tafsida ..
ila i prms 6do ivi tena
 
gud.i undstand
bt km una nia ya kuchallenge kuna maneno unaweza kutumia na si maneno ya km kumdharau au kumtukana mtu
nafurai km autofanya ivi tena
ur gud man...unarekebshika ..i like t
be wise t wl pay u bak...
ukijiskia kukereka na majibu ya mtu bas potezea usijibu cz unaweza jibu hasira na apo ndo matusi yanazaliwa.......
jion njema kakangu
c u 2mrw
stay safe n b blessed
 
POUWA C U 2MR, NAMI NGOJA NITIMKE UMU kwa ofisi
 
7. Nikikuudhi usinionyeshe mbele za watu, niite chumbani nigombee wee kadri unavyotaka ukiweza hata nipige lakini kimapenzi sio kama uko ulingoni na matumla hhahaaaa halafu nikilia nibembeleze sana halfu unipe chakula cha ndoa cha nguvu
8.Suprises.. Ukisafiri ukiwa unarudi usiniambie mwambie nishtukize, nisuprise na mabo mengine kama zawadi, usiniambie mambo unayotaka kunifurahisha wewe fanya kwa suprise.. napenda sana

Duh nitarudi tena mambo mengi ndugu zangu.......

Asha ngedere and Rose I love you!!!, keep telling us the truth!!!:smile:
 
Follow these simple rules utapendwa balaa
1.First of all, appreciate her, show her yeye is the only queen wako, hallo baby, mpenzi, honey, sweety, malkia, mama watoto, etc
2. Know well her feelings, vipi anavipenda on beds, wapi ukigusa tu tayari anapumua juu, be serious hapa, where is starter(s) for her? na maisha ya kawaida, jaribu uyafuate anapenda nini, some najua yote si rahisi,discuss nae aelewe kipi hakifai be open to her, but mengi utaweza.
3. Piga ngoma vizuri, hakikisha anaridhika yaani hadi analegea, nasindwa kusema vitu vyote hapa, ila pita kote ni wako mtakavyo, make sure anafurahi, anabaki anakuangalia machoni hana la kusema, utasikia, sitakiii, nataka, yaani hutosheki, hapooo, nakupenda, lugha kibao etc
4. Waheshimu sana nduguze hasa wale anaowapenda,be humble, wazazi, kaka, dada nk hhi itakupa heshima kubwa moyoni mwake atajua hata kwao wanakukubali, kamsaada kidogo si mbaya, na kuwasaidia kimawazo wakwe, mfano mama yake amwambiye mwanangu umepata Mume, mtoto anachanganyikiwa, kazi kwako tu
5. Halafu huyu si toy wako, once in a blue moon mtoe say once a month (min) aburudiki hapa bila watoto, private, aruke ruke mrudi home, watoto siku nyingine
6. In general be in her, her in you, u will be in heaven ( peponi) kimapenzi. Pesa si 100% msingi wa Love, pesa wastani na moyo mzuri is all. Wanawake wengi hupenda mume mwenye bidii ktk kazi, elimu, biashara nk. Kazi kwenu wapendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom