Nisimboe Mwenza wangu nifanye yepi?

kwan wewe si chadema?
mimi sina pbm na wewe nakupenda tena saaaaaana kakangu lakin unajua unaniboa nini? ni iv
1,UNATUKANA SANA
2.BUSARA ZA KUMJIBU MTU HUNA ..WEEW UNAMKATISHA MTU AU UNAMDHARAU MTU ALIYETOA MADA AU ALIECHANGIA MADA AMBAVYO HAVIENDAN KWA FIKRA ZAKO

MIMI haujawai kunitukana lakin naona mara nyng unatusi watu si vyema........pls ma dear brooo usifanye ivo ..ukiona mtu yupo kinyume na mawazo yako tak t easy na si kuanza kumbrust..
promiss me hautatukana tena watu.........
hpfull yes u wnt do t again...!!!
POLE KWA KUSHAMBULIWA UKO KWENYE SIASA

Mh Hongera Rose kwani unajua jinsi ya kumlegeza mwanaume mwenye makeke kama PAS! sikutegemea kama angenywea na kupromise kama alivyofanya. Kweli nimeamini silaha ya mtu maneno laini kama haya..pia hongera PAS kwa uelewa. :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom