Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Hivi karibuni kuna kampuni fulani ya Kichina ilikuwa inatafuta assistant manager, walikuwa wanataka awe anajua Kichina na awe ana leseni ya udereva.
Mpaka wanakuja kumpata walihangaika sana, sielewi shida ilikuwa ni location au watu hakuna.

Jiongeze!
u Dom iizo kozii zipo na mwaka huu wahitinu wameongezekaa maradufu

SEMA SOMETIMES CONNECTION NI MUHIMU SANAA..
 
Piga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza moja
Siasa ya ujamaa na kujitegemea imedumaza Sana ubongo na akili Sana Sanaa.

Pia LUGHA ya kiingereza kwa sisi majority ni tatizoo kubwa Sanaa

NB. Ndio maana DIASPORA YETU NI NDOGO MNO TUMEJIFUNGIA NDANI TUNAOGOPA KUTOKA NJE KUTAFUTA GREEN PASTURES HUKO NJE DUNIA
 
Kijana wangu nijibu haya tu nifahamu kwanza then i'll advise you s'thing kizuri sana.

1.Umemaliza chuo kiwango gani, certficate, diploma or dg?

2. Wewe unatamani kupambana kivipi? yani kwenye mawazo yako unapenda kufanya kazi gani? biashara? kilimo? au kitu gani unapenda-ga? nimeongeza hiyo -ga nikimaanisha kitu unachopendaga auvunatamanigi kufanya toka zamani.

sababu trust me mtoto angu, kile unachopenda kukifanya maishani ndio hua kinakupatia mafanikio makubwa sana sababu utakifanya kwa moyo wote na kujifunza zaidi.

Nijibu hayo then takushauri way to go
01. Kiwango Cha shahada(degree)
02.Napenda sana biashara, au harakati za kuhama Hama katika kufanya biashara
 
hiyo kozi ya udereva ukisomea yale magari makubwa utapata kazi huko dubai au qatar tena fasta tu
 
Fungua kilinge cha Uganga, mtaji usinga na kaniki.

Thank me later
Lakini wadau Kuna wakati tuwe serious kwa maombi ya watu jamani.....tunafanya utani lakini Kuna watu wanauliza kiukweli kabisa.
 
Sayansi ya jamii
Piga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza moha
Siasa ya ujamaa na kujitegemea imedumaza Sana ubongo na akili Sana Sanaa.

Pia LUGHA ya kiingereza kwa sisi majority ni tatizoo kubwa Sanaa

NB. Ndio maana DIASPORA YETU NI NDOGO MNO TUMEJIFUNGIA NDANI TUNAOGOPA KUTOKA NJE KUTAFUTA GREEN PASTURES HUKO NJE
Sio kila unachokiona ikifanye na sio kila unachokisikia ukifata AMAN YA MOYO NI BORA SANA KULIKO MANENO ELFU 1 YA MOTIVATORS
 
01. Kiwango Cha shahada(degree)
02.Napenda sana biashara, au harakati za kuhama Hama katika kufanya biashara
Sawa vizuri.So kama unapenda biashara au mambo hayo mnayoita harakati za kutokaa shemu moja, basi nitakushauri few option uchague unayoipenda. 3M ni pesa kidogo lakini ukiitumia vizuri inaweza fika mbali sana, ila ukiitumia vibaya ukafanya bad calculations unaimaliza within a month.

Wacha nikitulia badae taandika options nzuri hapa kwa.faida ya mwingine then utaona uchukue ipi kwa hayo maelezo yako.

NB: U
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Soma kozi ya CELTA ya kufundisha english online ukipata cheti nenda nchi ambazo english sio lugha yao ya kwanza kama kuwait, china nk.

Uzuri wa hii kozi ukiwa unakaribia kumaliza unaanza kupata offer za kazi. Unaweza ukafundisha class za online pia, kuna site kibao unajiunga kama mwalimu, unapiga zako pesa.

Kwa class za online umahiri wako kama mwalimu, uchangamfu wako na ukijua english vizuri umeukata jomba!!

Nakushauri tu kama unataka kusoma hii kozi basi chagua kusoma kwenye nchi ambayo unampango wa kwenda huko. Hii itakusaidia kupata offer za kazi kabla hata hujamaliza kozi.

Hata udereva wa lori pia ni wazo zuri!
 
Umri wako bado ni mdogo, fata ushauri huu.

Jifunze Udereva wa Magari Makubwa Gharama ni Tsh 500,000–1,000,000 kwa kawaida muda wa mafunzo ni wiki 5 hapo utatoka na cheti utakacho tumia maisha yako yote kitakochokupa fursa za kupata kazi.

Kiasi kinachobakia 2M fanya kama mtaji wa biashara ndogo ambayo itakayokua na mzunguko mkubwa wa fedha huku ukiwa unatumia cheti chako kutafuta ajira.
Hapa biashara ikifeli cheti kitakuinua kupata kazi.
Kila la kheri mdogo wangu.
 
Sawa vizuri.So kama unapenda biashara au mambo hayo mnayoita harakati za kutokaa shemu moja, basi nitakushauri few option uchague unayoipenda. 3M ni pesa kidogo lakini ukiitumia vizuri inaweza fika mbali sana, ila ukiitumia vibaya ukafanya bad calculations unaimaliza within a month.

Wacha nikitulia badae taandika options nzuri hapa kwa.faida ya mwingine then utaona uchukue ipi kwa hayo maelezo yako.

NB: U
Sawa nashukuru sana mama angu
 
Umri wako bado ni mdogo, fata ushauri huu.

Jifunze Udereva wa Magari Makubwa Gharama ni Tsh 500,000–1,000,000 kwa kawaida muda wa mafunzo ni wiki 5 hapo utatoka na cheti utakacho tumia maisha yako yote kitakochokupa fursa za kupata kazi.

Kiasi kinachobakia 2M fanya kama mtaji wa biashara ndogo ambayo itakayokua na mzunguko mkubwa wa fedha huku ukiwa unatumia cheti chako kutafuta ajira.
Hapa biashara ikifeli cheti kitakuinua kupata kazi.
Kila la kheri mdogo wangu.
Sawa mkuu natendea KAZI hili
 
Soma kozi ya CELTA ya kufundisha english online ukipata cheti nenda nchi ambazo english sio lugha yao ya kwanza kama kuwait, china nk.

Uzuri wa hii kozi ukiwa unakaribia kumaliza unaanza kupata offer za kazi. Unaweza ukafundisha class za online pia, kuna site kibao unajiunga kama mwalimu, unapiga zako pesa.

Kwa class za online umahiri wako kama mwalimu, uchangamfu wako na ukijua english vizuri umeukata jomba!!

Nakushauri tu kama unataka kusoma hii kozi basi chagua kusoma kwenye nchi ambayo unampango wa kwenda huko. Hii itakusaidia kupata offer za kazi kabla hata hujamaliza kozi.

Hata udereva wa lori pia ni wazo zuri!
Mkuu hii course nasoma online au
 
Back
Top Bottom