nenda kajifunze udereva wa malori makubwa# Nijifunze udereva wa magari makubwa?
# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?
#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??
# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??
Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu
Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Sayansi ya jamiiChuo umemaliza fani gani
Sawa mkuu ahsante kwa ushauri mzuri sananenda kajifunze udereva wa malori makubwa
Katika CV yako ongezea skills ya sales and marketing.Safi ushauri mzuri wakola sana
Kbs yani it's better to stay here kuliko kwenda mbali usipo jua kesho yakonenda kajifunze udereva wa malori makubwa
Piga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza mojaSayansi ya jamii
Ahsante sana kaka ndio maana nikahitaji mawazo Yako...Unasubili nini sasa???
Don't think just do it
Green light ✅SEPA
Nashukuru sana juu ya ushauri huu mzuriPiga udereva tu halafu tufuta michongo hapa hapa kuliko kwenda mbali huko kwenda kuanza moja
Marekani kutoboa ni rahisi kuliko ulaya. Kuanzisha biashara ni rahisi Marekani kuliko ulaya.Mkuu kwenda marekani ni ngumu inahitaji pesa nyingi Bora ulaya unaweza hata kuoa jimama la kizungu
Kutoboa rahisi kuingia NgumuMarekani kutoboa ni rahisi kuliko ulaya. Kuanzisha biashara ni rahisi Marekani kuliko ulaya.
Ndugu yangu nunua kiwanja Tanzania omba visitors Visa. Kuwaonyesha document unamiliki kiwanja na uns pesa kiasi kwa account unapata. Ukishaingia anza mara moja process ya kuibadili visitors Visa kuwa ya kazi.Kutoboa rahisi kuingia Ngumu
Au una ushauri Gani juu ya njia nyepesi kuingia USA
Huu ushauri mzuri ila sijui nianzie wapiNenda veta shinyanga soma course ya kuoperate mitambo ya migodini, baada ya hapo nenda south africa kuna course ya wiki 2 ada yake ni kama laki 8 ya bongo utakuwa certified kama operator wa kimataifa, then kazi ni nyingi Canada, Australia hata GGM unapata chap.
Ushauri mzuri sanaJipe mda hata wa miezi 3 ushauri utakaopata utakuwa based na experience na expectations za watu ambaye siyo wewe .
Cha msingi wewe ukikaa na ukaona unataka kuchagua njia ipi itakuwa vizuri zaidi ,kingine pressure kwenye jamii zisikupelepe, be calm