Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Mkuu zipi faida ya Lugha ya kichina?
Na udereva wa aina gani ambao niwe specific kuutafuta?
Udereva wa gari za kawaida.

Faida za Kichina ni kuwa...so far inaonekana kama Tanzania inaenda kuwa koloni la Mchina, wamejaa Tanzania mpaka wanakera, wanawekeza kila kukicha, wanafungua maviwanda kila kukicha.

Ukiwa na cheti cha udereva na ukijua lugha ya Kichina itakusaidia kupata mchongo utakaokulipa vizuri kwenye makampuni ya hawa jamaa. Hawa jamaa wanalipa mishahara ya kijinga sana, ila ukiwa na skills za ziada inakusaidia, angalau unaweza kunegotiate nao wakakulipa vyema.
 
Namba 1 ; Achana nayo kabisa kama unaamini katika furaha ya kuwa na familia na kulea watoto.
 
Udereva wa gari za kawaida.

Faida za Kichina ni kuwa...so far inaonekana kama Tanzania inaenda kuwa koloni la Mchina, wamejaa Tanzania mpaka wanakera, wanawekeza kila kukicha, wanafungua maviwanda kila kukicha.

Ukiwa na cheti cha udereva na ukijua lugha ya Kichina itakusaidia kupata mchongo utakaokulipa vizuri kwenye makampuni ya hawa jamaa. Hawa jamaa wanalipa mishahara ya kijinga sana, ila ukiwa na skills za ziada inakusaidia, angalau unaweza kunegotiate nao wakakulipa vyema.
Mkuu ahsante sana kwa muda wako na hekima Yako naenda kufanyia kazi
 
Mkuu ahsante sana kwa muda wako na hekima Yako naenda kufanyia kazi
Hivi karibuni kuna kampuni fulani ya Kichina ilikuwa inatafuta assistant manager, walikuwa wanataka awe anajua Kichina na awe ana leseni ya udereva.
Mpaka wanakuja kumpata walihangaika sana, sielewi shida ilikuwa ni location au watu hakuna.

Jiongeze!
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Hapo mtaji wa kuku broiler kbs yani broiler 300 ,tsh 570000 chakula cha broiler had wakue akizid 700000 ,madawa na chanjo tsh 50000 faida biashara ikienda vizuri faida had tsh 40000
 
Kujitolea Hapana
Kufanya Kazi za ulinzi hapana
Kwenda nje yes

Itapendeza utafute skills au ujiongeze kwa kujifunza hata online skills ya masoko na mauzo Ila ukiingia Dubai focus na Kazi za kawaida ambazo sio kulinda pekee.
 
Hahahaha 😂

Hahha mkuu very interesting
Sasa ushauri wako mkuu ni upi mana naona mwisho unatamani sana kujilipua upi muafaka wako?
Kabla hujajiripua uwe na back up plan (mfukoni uwe vizuri) uzuri wa nchi za watu ukiwa vizuri mwanzo unaweza kujishikiza mpaka ukajipata ila Kwa hiyo M3 hufiki kokote utakua vibaya mno maybe Kama unaenda huko ukiwa Na connection tayali

Jichange zikifika M10-15 sepa
 
Mkuuu huku natoka Nina uhakika wa KAZI moja kwa moja
 
Hivi karibuni kuna kampuni fulani ya Kichina ilikuwa inatafuta assistant manager, walikuwa wanataka awe anajua Kichina na awe ana leseni ya udereva.
Mpaka wanakuja kumpata walihangaika sana, sielewi shida ilikuwa ni location au watu hakuna.

Jiongeze!
Sawa boss appreciate sana
 
Dah kweli ukiwa dereva huwezi kupata maisha ya furaha kulea watoto nk
Furaha ipo kwenye pesa kijana, usipokuwa na pesa hata familia yako itakuona bwabwa tu.

Sehemu kubwa ya kulea ni kutimiza mahitaji, watoto kuiona sura yako mara kwa mara haina maana yoyote kama hauwezi kutimiza mahitaji yao.
 
Back
Top Bottom