Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Hadi hapa huna ambalo moyo wako unalipenda mkuu kweli. Ina Mana mademu wamejipanga mbele yako Mpaka uombe ushauri kuwa ni yupo umkule serious kweli. Ila anzia Dubai hata vibarua ulaya una uhakika wa kulaza laki Tano kwa siku hela ya kitanzania sema tu gharama ziko juu.
Hata uwe mjeda huko UK Kuna Maisha kikubwa jilipue , nenda mbele kwa mbele msela piga misele ,mambo mazuri yapo mbele kwa mbele , ongeza misele. Cheki Kuna watanzania kibao ni wajeda USA army
 
Sawa ahsante masta
 
Achana na mawazo ya kwenda Ulaya, sijafika huko ila kwa utafiti wangu nimeona huko ni kujitafutia stress sio utajiri.

Bongo hapa pana hela, tuliza akili mkuu ni uvivu wetu tu na kutaka shortcuts.

Wazo la kusomea udereva ni zuri ila sio zuri sana zaidi ya biashara ikiwa una abc za hiyo biashara unayotaka.
 
Sawa mkuu ahsante sana
 
Umemaliza bruh

Pia omba intern za kutosha,

Jiandae kupata kinyume na unachotarajia,

Fanya kazi yoyote km una nguvu fanya kazi yoyote usiangalie mtu mzee,

Nadhani ulisema upo Kigamboni, ukienda huko kisarawe two viwandani kazi km zote,

Ukipata muda pata ujuzi wa fani,

Kikubwa relax tuliza akili,

Mtaa unahitaji akili na nguvu kutoboa,

Ni Mimi kijana wa memkwa
 
Sawaa kaka wa memkwa
 
JIFUNZE BIBLIA ILI UJE KUWA KAMA MWAMPOSA....UPATE BILLIONS OF MONEY AFTER 20 YEARS MZEE

#DINI_INALIPA
 
Umemaliza bruh

Pia omba intern za kutosha,

Jiandae kupata kinyume na unachotarajia,

Fanya kazi yoyote km una nguvu fanya kazi yoyote usiangalie mtu mzee,

Nadhani ulisema upo Kigamboni, ukienda huko kisarawe two viwandani kazi km zote,

Ukipata muda pata ujuzi wa fani,

Kikubwa relax tuliza akili,

Mtaa unahitaji akili na nguvu kutoboa,

Ni Mimi kijana wa memkwa
Ni sahihi kabisa na ndio ukweli na vijana wachukue hii kama changamoto na kujinasua kwenye wimbi la ukosefu ajira / kazi ili kujinasua kwenye wimbi la UMASKINI.
 
Ubishoo na kujianika status za reels huko kuje after working en earning something,

Akiogopa kuchafuka kwa vumbi au nikikutana na flani au mbn nimesoma na yule,

Sasa ndo wakati wa kujua njaa ipoje, kukosa hata mia jambo la kawaida Ila sio nzuri inasikitisha 🥺
 
Ndio kipindi mtu anakumbuka angekua NYUMBANI ana lelewa pengine angekula bureeee nyumbani kwa mama.

Maisha ni marathon na unajua TUMBO LIKIWA TUPU... njaa unaumaga USIOMBEE 🙌
 
Hatare sana mkuu usiombe hiyo kukaa home inategemea aseeh, kuna familia zingine wewe ndo tegemezi inabidi ukomae ulipo tuu,
 
Back
Top Bottom