Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

kabla ya kukushauri mimi nikuulize swali, unahis wewe kipaji gani unacho, amabacho mazingira yake ya kutoka unajua ni magumu kwahiyo umekipotezea.?
 
Jifunze kichina uwe na kitu Cha ziada. Hii serikali tayari imeshawafungulia wachina Kila lango. Jifunze kichina angalau unufaike kidogo na uwepo wao.

Nje ya hapo, tafiti nchi za ulaya ambazo demographic structure inaoneonesha zina wazee. Hizo nchi zina uhitaji wa nguvukazi. Chunguza uwezekano wa kufika huko.

Hii bongo utaishia kupotezewa muda sana(kuwa bodaboda) na siasa za mazingaombwe na maombi ya mchongo ya kina mwamposa!
 
Nashukuru sana ila bado sijui Cha know Fanya I'm sorry unaweza elezea Zaidi?
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Kama una ideal ya Biashara komaa,hata hizi kazi tunafanya lakini mwisho wa siku unastaafu na kurudi mitaani kuanza life upya!
 
Chukua ml 2 tengeneza banda la chuma la biashara. Kodi eneo karibu na shule yeyote ya serikali iwe ya sekondari Nunua friji used la laki 2 mpaka 5 kisha anza kuuza ice cream, ufresh, juice mtaji ukikua anzisha stationary na photos studio.
Fata ushauri huu lakini poa ongezea na ujuzi wa udereva wa magari makubwa. Ukimaliza acha simamia biashara kwa muda then unakua umeshaijua acha mtu aiendeshe. Chukia roll piga route 60 trip town then anza kazi za mikoani piga trip 30 halafu anza kazi za Congo piga trip 30 acha kazi. Rudi simamia biashara jipange kwenda UAE kua derva malory. Piga miaka 3 achana na hiyo kazi hapo tayari una mtaji wa kununua malori mawili, rudi Dar fungua kampuni ya usafirishaji komaa mwenyewe na dereva nenda Congo. In 10 year utakua tajiri
 
🤣🤣🤣 Biashara za mwendokasi hizo, biashara haiko hivyo mdogo wangu
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Option ya kujilipua kwenda dubai au on ni nzuri sana. Ila nakushauri under pale NIT Ukajifunze udereva wa magari makubwa ( digital)
Ukishamaliza nenda sasa utatoboa .
Nimefanya kazi za UAGRNT nilicho kigundua ni kwamba technologies zetu tunazotumia mfano udereva zomepitwa na wakati sana
So kabla ya kwenda jizatiti na tech kwanza
Naawajua watu ambao wanalipwa real xa kutosha kwa mwezi kwa kurndesha magar tu hapo uarabuni
 
Mkuu shukran sana sana
 
Fata ushauri huu lakini poa ongezea na ujuzi wa udereva wa magari makubwa. Ukimaliza acha simamia biashara kwa muda then unakua umeshaijua acha mtu aiendeshe. Chukia roll piga route 60 trip town then anza kazi za mikoani piga trip 30 halafu anza kazi za Congo piga trip 30 acha kazi. Rudi simamia biashara jipange kwenda UAE kua derva malory. Piga miaka 3 achana na hiyo kazi hapo tayari una mtaji wa kununua malori mawili, rudi Dar fungua kampuni ya usafirishaji komaa mwenyewe na dereva nenda Congo. In 10 year utakua tajiri
Ushauri mzuri huu naishi nao
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Mali utaipata shambanii

Cc.
Monetary doctor
Intelligent businessman
 
# Nijifunze udereva wa magari makubwa?

# Nijilipue Dubai au Qatar kufanya KAZI za unskilled then after Nijilipue ulaya?

#Nikajitoleee halmashauri bila malipo??

# Nitafute mtaji wa biashara nikomae na Biashara??

Nina umri wa miaka 25
Location Dar es salaam
Ni asset zenye Thamani ya 3m cash ambazo naweza kuuza kupata capital ya kukamilisha yote hapo juuu

Kwa makini sanaa naomba ushauri wako
Ushauri,check na makada mbali mbali wa ccm,wakupe connection kwenye viwanda vipya elfu ishirini na nane wenyewe wanajua vilipo.
 
Inatosha mkuu nimeshafanya utafiti
Ni hivi hiyo pesa anapewa agent
Anakata nauli
Viza processing
Unasaini mkataba
Health clearance
Hati ya Tabia njema

Kifupi 3m inatosha kabisa
Kama inatosha na huyo agent ni muaminifu,nakushauri fanya hivyo na hutajutia.
 
Back
Top Bottom