Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Nishauri Chochote kati ya haya, nimemaliza chuo

Ndugu yangu nunua kiwanja Tanzania omba visitors Visa. Kuwaonyesha document unamiliki kiwanja na uns pesa kiasi kwa account unapata. Ukishaingia anza mara moja process ya kuibadili visitors Visa kuwa ya kazi.
Sio rahisi ivyo kama unavyofikilia..na Sheria za kubadili visitor visa kua ya kaz zinawabana sna. Unaweza ukajikuta ad mda wa visa yako unaisha bado mambo ni ngumu
 
Sio rahisi ivyo kama unavyofikilia..na Sheria za kubadili visitor visa kua ya kaz zinawabana sna. Unaweza ukajikuta ad mda wa visa yako unaisha bado mambo ni ngumu
Kama ana cheti cha chuo na Gachagua kazi anaweza kubadili. Ila inabidi aanze process akishafika asisubiri hata siku moja mbele. Ukiingia mitaondoni kuna watu kibao wanashauri jinsi ya kubadili
 
Ndugu zangu ahsante sana kwa ushauri wenu mzuri.
Nimechambua mawazo kutoka kwa watu wote.

Sasa nataka kujifunza udereva wa malori nataka kuanza kwa kuwa tingo miezi sita then after niende NIT kusoma digital truck driving kwa ajili ya kupata cheti baaada ya hapo ntaenda UAE

Kwanini nataka kuwa tingo? Kwasababu nataka experience kubwa na competence ya kuendesha magari.
Vipi una leseni tayari ya awali yani class D
 
Back
Top Bottom