Nishapata sababu ya kutorudi home leo.....!

Jana kuna mfanyakazi mwenzetu alimsubiria mkewe hadi saa tatu ili waondoke wote kwakuwa walitegemea lift moja. napata picha mlikuwa wote kwa kuwa ofisi ya yule dada ni upande wa pili wa ofisi yako. kwangu ni dili.
 
Back
Top Bottom