Nishapata sababu ya kutorudi home leo.....!

gfsonwin, sio mie ni jirani yangu huyo.....
nafikisha ujumbe tu kwa wadau.............................LOL

hhahahaha mkuu acha kukwepesa kwepesa wamekuandama ukaamua kubadili muelekeo kuwa ni jirani yako.... kumbe ni wewe kweli, pitia hapa shikamoo pesa tugonge mbili tatu mpaka saa 6 turudi home kisa cha kuchelewa mabomu barabara zilifungwa... mi kweli ntachelewa sababu ya mabomu... kwahiyo nakaa baa mpaka hali ituliee ndio taarifa niliyotoa rasmi kwa familia na jamii

]gfsonwin hamjambo??
 
kariakoo.jpg kariakoo.jpg show ya leo kariakoo, band ya ffu na wacheza shoo wao wanajijua sitaki kuharibu hali ya hewa leo FRIDAY sababu ya kuchelwa tunayo si mnajua FFU ni band mpya ndio kwanza ina nyimbo za arusha na iringa na hii mpya ya mwangosi, na ya mbagala ipo studio na hii ya kariakoo ndio wako kwenye maandalizi.
 
Sasa mukubwa hom si patakua umeacha loop-hole ?
Refar hom yako kuitosa ni sawa na kuacha bucha bila mwenyewe?
Kwa utamu wa upitao ?
M'bachao ndo mpango mzima bwanaa !
 
Back
Top Bottom