Nishapata sababu ya kutorudi home leo.....!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Samahani leo sitaweza kurudi home, huku mjini nilipo kimenuka, nimeambiwa na boss wangu nilale hapa hapa kazini mpaka kesho......LOL

attachment.php
 
hivi wafikir sijui kwamba unamuongelea jiran yako yule anayeish ndani ya mbavu zako? namjua mpelekee ujumbe wangu

Ha ha ha haaaaaaaa....Una nongwa wewe.... mbona siku hizi unaninyima pumzi kila nikisema neno humu...?
Najua ushawaalika wenzako, bado kitambo kidogo watakuja hapa kama wale ndege KWELEA KWELEA.........
NGOJA NIHAMI MPUNGA WANGU KABLA HAWAJAJA NA KUKINUKISHA.............LOL
 
sasa ngoja waje hapa akina snowhite, cacico sweetlady, BADILI TABIA uone achen ubazazi wanaume mmezidi lol!
 
Back
Top Bottom