Bongo Movies Youtube Mjifunze Production

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
933
Reaction score
2,542
Leo nimeona niliseme na hili,
Mimi ni mtu wa kushinda kazini na kurudi nyumbani jioni, sina mda kabisa wa kutazama TV.
Hivi karibuni nilikuwa na likizo so nikaamua kuitumia kukaa na familia na mda mwingi nilikuwa nashinda home asubuhi mpaka jioni mda wa kulala.

Katika kipindi hiki cha likizo nikabaini mke wangu na watoto wanapenda sana kuangalia maigizo youtube os nikajikuta na mie nakaa nao kutwa nzima tunaangalia.

Issue niliyobaini ni kuwa waandaaji wengi hawana production plan, yaani movie inatoka kwa episode lakini inakosa;
1. Haina ratiba maalumu kama ni weekly au kila baada ya siku 4 labda.
2. Nimebaini wengi wanafanya production ya episode moja moja. yaani ikitokea hali ya hewa ikawakwamisha basi hawatoi episode siku husika.
3. wanaanza kuandika movie bila kujua itaishaje, mwanzo inakuwa nzuri ila mwisho inapoteza connection na mwanzo
 
Uchumi mkuu kwa hilo la bongo movie ni uchumi waigizaji wengi kama sio wote ni jàmii ya watu duni kabisa hapa kwetu sasa ktk kujitafuta wanajikuta huko.
Huyu mtu duni alikosa elimu bora, hana exposure, hana skills zozote zile , hana connection na kubwa kuliko apacha alolo unategemea nini..!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Leo nimeona niliseme na hili,
Mimi ni mtu wa kushinda kazini na kurudi nyumbani jioni, sina mda kabisa wa kutazama TV.
Hivi karibuni nilikuwa na likizo so nikaamua kuitumia kukaa na familia na mda mwingi nilikuwa nashinda home asubuhi mpaka jioni mda wa kulala.
Katika kipindi hiki cha likizo nikabaini mke wangu na watoto wanapenda sana kuangalia maigizo youtube os nikajikuta na mie nakaa nao kutwa nzima tunaangalia.
Issue niliyobaini ni kuwa waandaaji wengi hawana production plan, yaani movie inatoka kwa episode lakini inakosa;
1. Haina ratiba maalumu kama ni weekly au kila baada ya siku 4 labda.
2. Nimebaini wengi wanafanya production ya episode moja moja. yaani ikitokea hali ya hewa ikawakwamisha basi hawatoi episode siku husika.
3. wanaanza kuandika movie bila kujua itaishaje, mwanzo inakuwa nzuri ila mwisho inapoteza connection na mwanzo
Si kweli, Bongo movie wanatafsiri movie za kikorea, wakati wanaandaa hizo episode huku wanawaza kiongozi afe watunge nyimbo, wanawaza kampeni , haiwezekani wakawa sawa.
 
Ma-Producers wengi wa bongo Hawana taaluma ya Production wanachokijua wao Ni Majina ya camera bas, Hawana taaluma ya uzalishaji wa filamu ila wana vipaji tu. Sasa ukichanganya na umaskini Kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom