Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!
hahahaha......kweli hapa kazi ipo..labda niperuzi nione hii 'shida' ni nini
by the way hommie Kimey, nacelebreti na kusherekea avatar mpya-ya zamani ya CM, hope unanisoma eeh😀