Nisameheni

Nisameheni

kamwe hatarudisha avatar yenye engagement ring......(kibluray kimehusu hapo)
Hehehe! Umekula Senksi hapo. Leo umeamua kumix kibluray na kinoname. Hiyo inaitwa kiblu-no! Ngoja nikazimue, naona kichwa hakija kaa sawa leo.
 
Mkuu isije kuwa habari ya tanker la mafuta na kipanya bana, pima mwendo mkuu.

"Mtumishi wa Mungu na Mpakwa mafuta " Cheusimangala alidhani wengi tulikwazika na hiyo "real elevation" kumbe haikuwa hilo, baadae amegunduni kwa kitendoo chake cha kuweka avatar yenye mkono wenye pete ya ndoa badala ya uchumba ndo imekukwaza Mkuu zaidi, na thanks nyingi kwake kwa kurekebisha kosa haraka sana ili "dokta" usiumie!..

eeeh unajua tena wengine na profession zetu! hahahahaa mwendo nimeuona huo hauna madhara kila kitu kimepimwa apo!
 
Amini nakuambia: Hakuna raha kama kudumisha mila na mrembo mwenye pete ya uchumba. Laiti Cheusie angelijua hilo...............!

Kosa kuba bana..

Xpn au nawe ulikuwa kwenye ile orodha ya walio m PM mara baada ya kuweka avatar yenye pete ya uchumba akakwazika yeye badala ya wale aliodhani tunakwazika kwa "antena yake"??
 
nimekufanzia mapenzi yako tayari.!
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.

Ndipo niliposeeeema, tazama nimekuja
Bwaaaana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapeeeenzi yakoooo!
 
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.

Ndipo niliposeeeema, tazama nimekuja
Bwaaaana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapeeeenzi yakoooo!

tazama nimekuja, eeeeeh Bwana, eeeh Bwana
kuyafanya mapenzi yakooooooooooo
Kaizer wea are you sweetpie????
 
eeeh unajua tena wengine na profession zetu! hahahahaa mwendo nimeuona huo hauna madhara kila kitu kimepimwa apo!
Hommie on the needful.........!

Kosa kuba bana..

Xpn au nawe ulikuwa kwenye ile orodha ya walio m PM mara baada ya kuweka avatar yenye pete ya uchumba akakwazika yeye badala ya wale aliodhani tunakwazika kwa "antena yake"??
Laiti angejua! Hapo angejua sasa ndo katufungia milango ya mbinguni, angeirudisha ile ya zamani. Kama si hommie Kaizer kuniomba nisimvurugie mambo angeshakamata PM zangu za kufa mtu!
 
okay. pako na mamushka hapaharibiki kitu hapo...big up thats morning glory (ki Noname icho) 😀

B kwnza ume edit lakini hujaharibi
its Mamushka-Pako r'ship
afu hapo umetumia ki-Bluray pa seee
 
Ngoja nimtafute Kaizer aanze kupapasa organ hapo.

Ndipo niliposeeeema, tazama nimekuja
Bwaaaana nimekuja, tazama nimekuja
Kuyafanya mapeeeenzi yakoooo!

dah hommie umekula senks kwa kukumbuka profession za wapwaz

apo naona una do ze nidiful ku conduct...3/8, moderato
 
B kwnza ume edit lakini hujaharibi
its Mamushka-Pako r'ship
afu hapo umetumia ki-Bluray pa seee
Hommie bado slow learner. Atajua tu lakini.

dah hommie umekula senks kwa kukumbuka profession za wapwaz

apo naona una do ze nidiful ku conduct...3/8, moderato
Dah! Umenikumbusha marehemu Felician Albert Nyundo.
R.I.P mwalimu wangu!
 
B kwnza ume edit lakini hujaharibi
its Mamushka-Pako r'ship
afu hapo umetumia ki-Bluray pa seee

ooooh mai mai..is there a significant difference between Ki Noname na kiblurei? 😀😀 B unainsuniate nini apo toba!
 
ooooh mai mai..is there a significant difference between Ki Noname na kiblurei? 😀😀 B unainsuniate nini apo toba!

ofcoz there is, cant you see? open your eyes B!!!

hahaa sija-insinureti chochote bana muulize Biggy mi hata sijui mwendhio!!!
 
ofcoz there is, cant you see? open your eyes B!!!

hahaa sija-insinureti chochote bana muulize Biggy mi hata sijui mwendhio!!!
Ngoja nimjibu mamushka!

ooooh mai mai..is there a significant difference between Ki Noname na kiblurei? 😀😀 B unainsuniate nini apo toba!
Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!
 
Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!
bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!
 
Ngoja nimjibu mamushka!

Kwa mfano rahisi.......Hapo umepiga kibluray!

mi ndo maana hakuna cha kunitenga nawe biggy wa ukweli!!!!

bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!

hahaaa karibu Meku, taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu umeingia kundini leo!!!!
 
ofcoz there is, cant you see? open your eyes B!!!

hahaa sija-insinureti chochote bana muulize Biggy mi hata sijui mwendhio!!!

naona apo Pako keshado ze niful kuelezea ngoja nione kama nitaweza kufungua macho dah
 
hahaaa karibu Meku, taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu umeingia kundini leo!!!!
aika mkeku....ha ha ha mi sipati picha sinajina aje akute mmesha customize ID yake!! mi ntapita mbaaliiiiiii!
 
bora hommie umempa mfano wa 'kibluray' maana ingekua wa 'kinoname' hapa mbavu zingeanza kuuma tena! komredi Keizer usiombe ukutane ni kinoname!!
Nahisi kama hangover inaanza kuisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom