Nisameheni

hata mi ntakipenda naombeni wajemeni......
nisameheni kwa kudandia tren kwa mbele

hahaha ni kweli hata kwako kitakuwa kizuri sana ngoja aje leo sijui kaenda wapi namtafuta kama Almas Mwadui
 
hahaha ni kweli hata kwako kitakuwa kizuri sana ngoja aje leo sijui kaenda wapi namtafuta kama Almas Mwadui

kweli eeeh!!?
basi mtanigaia hata kwa piemu tu nitest, seriously nakitaka!!
Cheusi nahisi mpaka jioni jioni hivi ndo atakuja...
 
cheusimangara
@ thanx kwa kile kitu eti ee dada halisi wa Kitanzania
talk to u kesho mpendwa

FL1 avatar yako inanitia majaribuni, sijui nikutumie PM?
icon10.gif
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.

Hii thread sasa imekosa maana, kwasababu "nguruwe kayarudia matapishi yake mwenyewe". Mods put it in the dust bin.
 
Jamani!. keshaomba samahani, mi nadahani kikubwa ni kumsamehe, nyie ambao mnataka kuongeza namba of your posts kwenye jf endeleeni na mjadala wa kuhoji kuomba kwake samahani. CHEUSIMANGALA, MI NIMEKUSAMEHE NA NINAHAMA KWENYE HOJA.
 
lakini hii inatisha sana. Ina maana avatar ya mtu imefanana nae? Kwa hiyo hiyo avatar yangu ndio mimi? Sikujua. Ila wanaume tudhibiti hizi fantasies zetu
 
Jamani!. keshaomba samahani, mi nadahani kikubwa ni kumsamehe, nyie ambao mnataka kuongeza namba of your posts kwenye jf endeleeni na mjadala wa kuhoji kuomba kwake samahani. CHEUSIMANGALA, MI NIMEKUSAMEHE NA NINAHAMA KWENYE HOJA.

he umeenda kuitoa wapi wangu hii Post
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom