Nisameheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisameheni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cheusimangala, Mar 27, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

  Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

  Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

  Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

  Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.

  now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

  kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

  I love u all.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Umeshasamehewa. Hata Yesu alimsamehe Petro mara tatu.
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mimi hukuwahi kunikwaza na ile avatar, ila kwa kuitoa ile na kuweka huo mkono ndo umenikwaza. Kama wewe una imani ya kweli, basi itabidi utubu tena kwa kunikwaza mimi. ha ha ha haaaa!!
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  "" Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, naye atanisamehe upotovu wa dhambi zangu"

  Kaizer@jamiiforums.com
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Aah Cheusimangala, usikimbie majaribu pambana nayo, kwa upande wangu nitakuwa siyo msomaji mzuri wa comment zako kwani kale ka-avatar kalikuwa kana nipa msukumo wakujua nini kilicho ndani yake (kusoma zaidi ulichoandika).
   
 6. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ile Avatar haikuwa na tatizo kwani ni picha tu na ilikuwa ya heshima tu mbona mi sijakusamehe hebu rudisha ile identity bwana that was your brand which made who you are now in the context of JF
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe na Bwana! Amen!
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nitatafuta nyingine nzuri,ucjali,najua unaipenda lkn kubali matokea!
   
 9. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Thanks so far those who were PMing you cos of the avatar they were simply out of their minds you shouldn't be affected with that as long as you know what your doing and preserving what you think its your dignity dear
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Bwana mwenyewe hasamehi kabla hujapatana na ndugu yako. Hamkusoma kwamba hata kama umepeleka sadaka madhabahuni lakini hujapatana na ndugu yako, iache madhabahuni urudi ukapatane kwanza na nduguyo? Kwahiyo patana kwanza na mimi ndo uende kutubu kwa bwana.
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mengi yaendelea kufichuka!
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  najua people will pay less attention to me lkn nimejiandaa kwa hilo kwani ni bora niupoteze umaarufu wa Jf kuliko kuukosa ufalme wa mbinguni.
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwani mimi na wewe tumegombana wapi jamani?
  note:usiyatumie maandiko vibaya ili kujinufaisha haja zako!
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hatujagombana, ila umenikwaza kwa kubadilisha avatar
  "Lakini afadhari umeiondoa, kuna jamaa yangu alikuwa anasoma post zako ili aone tu ile avatar"
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yapi hayo mkuu?
   
 16. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetimiza wajibu wako mbele ya kaka yako, Imeandikwa " Simama ukaitende shughuli hii, kwani ina kuhusu wewe, uwe na moyo mkuu, nami ni pamoja nawe"

  Mungu akuzidishie tena katika miaka hii ijayo uweze kuwa na maamuzi ya busara zaidi.
   
 17. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  umetukwaza bana rudisha ile ile,tuwe na apetite ya kuja JF.;)
   
 18. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bibie Cheusi sometimes I wonder as to the basic difference in thinking kati ya wanaume na wanawake.
  Tumeona mara kadhaa mwnamke anatembea nusu uchi au amevaa nguo zinazombana sana kiasi cha kuonyesha kila kitu hadharani.
  Wanawake wa aina hiyo wala hawako concerned watu wengine wanafikiri vipi au kupata hisia gani.
  Hata makanisani, umekuwa mtindo siku hizi kucheza jives ambazo zinatikisa mwili wa mwanamke, mitikisiko inayoweza kuwa suggestive na kuondoa amani ya kiroho.
  Avtar yako, Cheusi, ilikuwa inafall katika category hii ya kutofikiria upande wa pili unahisi vipi.
  Niliiona hiyo avtar na, I am sorry to say, it put me off.
  Hii ya kidole can be just a bit better , but you never know what turns on some people(men).
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asante kaka maneno yako yamenibariki,nawe ubarikiwe!
   
 20. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ya kwako na ya kwake kwamba akuombe msamaha!
   
Loading...