Nisameheni

Nisameheni

B nini kimetendeka kwani!! u-Shingongo nini?? sikuelewa mie mwenzio leo slow mbaya!!

hebu fatilia B,,,, kuna mtu anajifanya championi wa kuedit apo., Mi akija CM akamblast simo! ataka kuvaa viatu vya wakubwa
 
Hata hii ya sasa hivi mbona bado vivyo hivyo!!!!
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.

now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.

Sasa hiyo uloweka ndo umetubu ama ndo umeongeza zaidi???
 
editors at work......ova


.......mawasiliano, mawasiliano afande, ova....nam, ndo huyu Father Xmas kwenye orodha ya marafiki wa... wa ..wamrembo???...ova...ova..ova!.
 
.......mawasiliano, mawasiliano afande, ova....nam, ndo huyu Father Xmas kwenye orodha ya marafiki wa... wa ..wamrembo???...ova...ova..ova!.

hahahaa Ngoshwe bana aah!! LOL

ndo chief 'editor' ova!!!
 
Mbona mimi jamani dada cheusi naona tu bado hii avata inanitia majaribuni japo sijawahi kuku PM kwa heshima. ila mmmh kama umeamua kubadilisha basi weka nzuri jamani hiii mhhh huwa nikiaangali lol
 
hahahaa Ngoshwe bana aah!! LOL

ndo chief 'editor' ova!!!

....ni miongoni mwa wale waliokwazika na tanker....ova???..hii ni pamoja na kuambiwa kituo kimejaa ...ova...Befriend Mrembo ova!.
 
Mbona mimi jamani dada cheusi naona tu bado hii avata inanitia majaribuni japo sijawahi kuku PM kwa heshima. ila mmmh kama umeamua kubadilisha basi weka nzuri jamani hiii mhhh huwa nikiaangali lol

What happens? LOL
 
avatar21903_3.gif.jpg
umerudishia eeh?? sasa fulu babake tutakua tunapandishia stimu kabla hatujadondoka viwanja week-end😉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom