Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,
- avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
- Mimi ni binti wa kikristo,
- kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu
- nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu
- avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi
- Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua
- niliposema nina mchumba haikusaidia,
- hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
Cheusi,
Kwanza ebu "rewind" bana ile ya awali tuone ilikuwaje, sie wengine hatukuwahi kuiona hiyo iliyobadilishwa, pleaseeeeee, inaweza kuwa nzuri zaidi ...
Umekwshaolewa au ndo bado mchumba?? lakini hii ya sasa yaonyesha kama una pete ya ndoa..je, ni kukwepa PMs?.
Kama si kujichulia kutovikwa kabisa pete ya ndoa au uchumba kwenye hicho kidole husika, tafadhali rejesha ile ya awali au tafuta nyingine iwapo huna mchumba wala mume.
Kwani ni nini kilikusukuma ukatumia ile ambayo umeibadili?,..
Huna uhakika na maumbile yako?, je, kama ungekuwa kama hiyo avatar ya awali ungejibadili iwapo "kaka zako" tungekuwatukikuuliza?..