Nisaidieni nakaribia kuumbuka

😂 😂 😂 nyie watu mnanivunja mbavu ati ilhali ndugu yetu AKILI KIJIKO yupo matatizoni
sio mbaya mimi kuwa chanzo cha mahusiano mapya ilimradi mmesha nishauri sasa ni kazi kwangu kuchambua pumba na mchele thanks a lot friends
 
Reactions: Pep


Angalia nani kashika dini zaidi ya mwingine, na pia ambae unampendea sifa ambazo ni za kiungu na za kudumu, au kimbuzi mbuzi jitegeze sehemu na mmoja kwa ajili ya fumanizi uwaache wote, vinginevyo mademu baadae atalipiza na hataona shida nae kuchepuka kama ashawahi kukufumania, au mtegeze mmoja kwa rafiki yako kisha wafumanie wakiwa kwenye mkao hata wa kawaida we mkomalie na huo mtihani wape wote anaejutia sanaaa ndio mkeo, nimeona nikuvuruge upambane na uhalisia
 

Duuh huyo kiboko yako kwa wakati huo mlikuwa draw ya kufungana vipindi vyote
 
Nitakupa mrejeshoo baada ya wiki moja
 
Waache wote I'm sure watakubamba itakuwa aibu na utaachwa, Sasa from there utapata series za matukio na utakayemuoa atakuwa pasua kichwa. Sijui kwanini wanaume huwa hamsemi ukweli mpaka muumize wengine. Remember karma is a bitch.


Tatizo raha ya kuwa na variety ni tamu sana kesho k hii kesho kutwa ile shetani wa kirungu enomike ya singa bachitegede Mbu..
 
Case za kitoto hzo, unawaza kuwaacha wachumba wawili tu; watu tulikuwa na wachumba 13 wenye sifa za kuolewa na akaolewa mmoja tu!
Sasa mbona mimi naonekana ndio mkosaji dunia nzima
 
People hubadilika kwanini hyo tabia ni ya wanaume 98% wako hvo bila kujali umri, hata matukio ya kila siku ni hayo hayo, huwa nawaza Kuna sehemu hamkui
Ukimwona mwanaume katulia na mwanamke mmoja basi ujue hana pesa. amini usiamini
 
Badili Dini Uoe wote wawili.
 
Ni kweli lakini mbona hicho kitendawili jibu lake jepesi Sana...atumie uwanaume wake Kwenye kufanya maamuzi Kama hayo kwamaana atumie akili zaidi (kichwa cha juu) kuliko hisia (kichwa cha chini).

Labda awe amelishwa ndumba na hao mademu....
Ningeweza kuchukua maamuzi yeyote ili kutatua tatizo hilo lakini nafikiri unaelewa mtu akiwa njia panda, kila ninalolifikiria nahisi halifai ndiomaana nimejaribu kushare na wenzangu mnipe japo mbinu ambazo labda sikuzifikiria kwamba zingefaa. siitaji kuendelea kuharibu mkuu
 
Tatizo raha ya kuwa na variety ni tamu sana kesho k hii kesho kutwa ile shetani wa kirungu enomike ya singa bachitegede Mbu..
Sex is overated hamna jipya hata utoke Leo juma, kesho Ali, omary, Peter mwisho wa siku enjoyment huwa kwa yule mwenye connection and bond. Imagine mfano machangu. Kuna kufanya upizi na kufanya ile connection ya ndani
 
Badili Dini Uoe wote wawili.
Kuoa ni tofauti na kuwa na mahusiano, kipato changu sidhani kama kinakidhi kuoa wake wawili, pia wao hawawezi kushare mwanaume na siku wakijua upuuzi wangu sipati picha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…