Nisaidieni mzungu kanipenda

Nisaidieni mzungu kanipenda

Maisha hayo kijana. Masikini wa U.S.A. ni tofauti na masikini wa bongo. Acha kung'aa sharubu.

Huyo mpenzi wako uliye naye sasa hivi siyo ndugu yako, siku yeyote anakupiga chini. Mfuate mzungu ukabebe box uwakomboe ndugu zako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bwa mdogo inabidi ujue namna ya kujichukulia maamuzi mkononi.utauliza maswali hapa hutapata jibu.wengi wako bongo labda ungewauliza utapata jimama wp ungepata majibu kedekede.hapo ulipo angalia nini kinafaa maisha yako au mwanamke mzuri.never pretend to love mzungu kwani atakuumbua baada ya siku 2 tu.nenda kwa huyo mzungu if you real love her.na wazuri wapo,u can be with your white wife and ---- your black lover,its accepted.we nenda na dolare tu dem mbongo anakupa ninihii.si unajua financial crisis.
 
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
Hapo sijakuelewa, Mzungu anakupenda na anataka uishi naye ili upate uraia, kwa hiyo lengo lake ni kuishi nawe ili upate uraia na sio mapenzi au kama mke na mume, thus means anataka kukusaidia tu upate uraia sio
 
Sasa wewe na demu wako mtakula nini?mjini mipango wewe.
Wewe kula mzigo mbwage huyo chausiku wako.
Angalizo hakikisha mwanamama ana mpunga wa maana na hana mkono wa birika
 
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya

Huu ndo mfano mzuri wa jinsi vijana siku hizi wanakuwa wavivu sana. Hawataki kusoma kwa bidii, hawataki kupanga vizuri maisha - wanataka kila kitu wapate kirahisi tu. Kuoana na mtu ambaye humpendi ili upate uraia ni upumbavu mkubwa sana na wote ambao mnamshauri afanye hivyo naona akili zenu haziko sawa.
 
Hakuna mapenzi kuna kudanganyana tu.
Neda kamdanganye mzungu ili utengeneze maisha ya baadae

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

Wewe ndoa ni ndio .struggle ni zilezile.sema mzungu akikupenda he means it no jokes

Listen to your heart buddy...asikudanganye mtu bwana kwenye maisha magumu hata mapenzi hakuna!
Go for that muzungu and have those 'makaratasi'....chezeya US wewe!!

Maisha hayo kijana. Masikini wa U.S.A. ni tofauti na masikini wa bongo. Acha kung'aa sharubu.

Huyo mpenzi wako uliye naye sasa hivi siyo ndugu yako, siku yeyote anakupiga chini. Mfuate mzungu ukabebe box uwakomboe ndugu zako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mchukue ule raha hawa wengine wanakushauri kwasababu wameshaoa au kuolewa,hizo ndio chance za kutokea.kwani ulishawahi kuwa na madem wangapi bongo na hamna love la kweli kwanini asiwe mzungu? tusiwe wanafiki hapa mzungu amekupenda GO FOR IT kwani utapungukiwa nini?kapimeni or vaa condom,watu kibao hapo wanafanya ngono kila siku but wewe wanakwambia sijui nini,achana nao take that white baby,who knows?maybe thats ur future,hao sio Mungu wako.wa kukupangia uishi na nani au ulale na nani. DO YOUR THINGS MAN!!!
 
tukusaidiaje sasa shida ni kupenda ama uraia!!!
 
kuna vya kuchanganya
ila sio penzi la kweli, huwa halijichangaji wala kuchanganyikiwa.

Huwapendi wote, nenda kwa mzungu angalau upate pesa maana hata huyu uliyenaye sasa humpendi kivileee, vinginevyo usingechanganyikiwa na ofa ya USA tu
 
Uko Europe au marekani ? Mbona hueleweki.
sheria ni tofauti , ndoa haimaanishi utapata Uraia automatically. Lazima uweze kuprove kuwa ni mke na mume wenye uhusiano wa kimapenzi kweli. Jiandae kutoa ushahidi mfano picha za holiday, joint account statements, bills etc. sikushauri uoe kwa ajili ya makaratasi unajitafutia matatizo. You can't fake love forever.

Naomba nielewesha kidogo Natalia i mean mie nafikiria my life naona hii ni kama opportunity ya kutoka hebu niambie kiundani ugumu unakuja wapi once nikiwa nae huku europe
 
Utateseka sana! Inavoonesha hujampenda yeye ila matokeo ya kuwa naye ndo unayoyapenda! Kulala,kuamka na kuongozana na mtu usiempenda for the rest of your life,aise utakufa kabla hujafa! Na wenzetu wanajua kumganda mtu, utakapoenda mtakuwa wote sasa uwe hujampenda, utajuta!
 
Siku hizi imekuwa fasheni, wazungu wengi wanapenda kunyonywa na waafrika na vile mademu wa kibongo wanavyopenda kuliwa tigo, basi mzungu anatumia gia ya kumpa demu uraia.
 
Mtafute mange kimambi akupe ushauri wa maana ikiwemo na tips zote muhimu wahi mapeemaa
 
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya

Vipi ISAAC1 huyo mzungu wako ni mbibi au mdada, kama ni mbibi basi ni bora ukampotezea mapema.
 
Huyo mzungu anaumri gani...anakivutio, maana isijekuwa ni wale white trash
 
kuna vya kuchanganya
ila sio penzi la kweli, huwa halijichangaji wala kuchanganyikiwa.

Huwapendi wote, nenda kwa mzungu angalau upate pesa maana hata huyu uliyenaye sasa humpendi kivileee, vinginevyo usingechanganyikiwa na ofa ya USA tu

Exactly, the minute you had a second thought basi hauko mkweli na huyo binti wa watu. Chukua makaratasi uukate, huyo dada nae akijua uko majuu kumbe si lolote atasepa. Dunia ni maslahi siku hizi.
 
Changamoto haziishi, hata ukipata uraia utazipata tu. Dawa ni kuzikabili sio kuzikimbia.
 
Mtazamo wangu ...ingekua ni mkeo ningekushaur usimuache ...otherwise tafuta maisha kwanza mapenz yapo tu .....kwanza mapenz ya cku izi ni mchina 99.9%(io 0.1% kwa kina wastara na the late sajuki) ....sasa kwa mfano ukirud bongo ukakosa kazi afu demu akakuacha...will you handle that stress? ....inabid uangalie opportunity cost
 
Exactly, the minute you had a second thought basi hauko mkweli na huyo binti wa watu. Chukua makaratasi uukate, huyo dada nae akijua uko majuu kumbe si lolote atasepa. Dunia ni maslahi siku hizi.

that's right madame!
 
Back
Top Bottom