Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,201
Hii habari ni ya kutunga tu. Vinginevyo kama ni ya ukweli usingekuwa mara unasema Marekani, mara Europe! Au hufahamu kwamba hivyo vitu viwili ni tofauti?Naomba nielewesha kidogo Natalia i mean mie nafikiria my life naona hii ni kama opportunity ya kutoka hebu niambie kiundani ugumu unakuja wapi once nikiwa nae huku europe