SUPERUSER
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 960
- 308
Vipi ISAAC1 huyo mzungu wako ni mbibi au mdada, kama ni mbibi basi ni bora ukampotezea mapema.
Akiwa mbibi ndo mzuka coz una uakika wa fortune
Vipi ISAAC1 huyo mzungu wako ni mbibi au mdada, kama ni mbibi basi ni bora ukampotezea mapema.
Exactly, the minute you had a second thought basi hauko mkweli na huyo binti wa watu. Chukua makaratasi uukate, huyo dada nae akijua uko majuu kumbe si lolote atasepa. Dunia ni maslahi siku hizi.
mchukue ule raha hawa wengine wanakushauri kwasababu wameshaoa au kuolewa,hizo ndio chance za kutokea.kwani ulishawahi kuwa na madem wangapi bongo na hamna love la kweli kwanini asiwe mzungu? tusiwe wanafiki hapa mzungu amekupenda GO FOR IT kwani utapungukiwa nini?kapimeni or vaa condom,watu kibao hapo wanafanya ngono kila siku but wewe wanakwambia sijui nini,achana nao take that white baby,who knows?maybe thats ur future,hao sio Mungu wako.wa kukupangia uishi na nani au ulale na nani. DO YOUR THINGS MAN!!!
Ninachoona hapa ni mwanaume mwenzetu anakaribia kuolewa na MZUNGU...
Acha mashauzi wewe. Stori kama hizo zinawafaa akina Shigongo. Nakushauri urejee Bongo ili uhenye na huyo mpenzi wako akupige kibuti baada ya kujua hukuja na kitu. Pia nakushauri ukae na huyo mtasha akutumie kama shamba boy na sex machine. Kwa ufupi hapo una mikuki miwili. Amua mwenyewe kwa vile maisha ni yako na si yetu. Ni ushauri na mtazamo tu.
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya

Nenda U.S.A uokoe kizazi chako! Wewe
Kupenda ni nini? kuna mapenzi chini ya mbingu? mungu tu aliyekuumba humpendi unamsaliti sembuse huyo chausiku? watu mnaongopeana eti oooh mapenzi huo ni ujinga mtupu maisha kwanza. Hapo kale watu walioana hawajuani na kuja kuishi vizuri tu na kuleta familia mwanana duniani kupenda kutakuja humo humo ndani ya mahusiano mradi mtunze misingi ya kimungu mkimpenda mungu mtapendana pia. Love is for fools ( under the sun that is )Huu ndo mfano mzuri wa jinsi vijana siku hizi wanakuwa wavivu sana. Hawataki kusoma kwa bidii, hawataki kupanga vizuri maisha - wanataka kila kitu wapate kirahisi tu. Kuoana na mtu ambaye humpendi ili upate uraia ni upumbavu mkubwa sana na wote ambao mnamshauri afanye hivyo naona akili zenu haziko sawa.